😀 Ndoto baada ya kulewa chang'aaHawa watu hushangaza Sana🚮wacha Ile siku Tutaanza kuutilize Jangwa yetu na kufanya canal irrigation,watakipata watajua watauzia Nani,Bado mambo Tuko under trainning na Israel na Egypt,once we catch-up Tutakuwa the leading producer of Food crops and cash crops in Africa,Just wait🇰🇪👊🔥🔥
Kama una akili timamu hii yenu sasa ndio jeneza
Yaani mtaani kabisaa, sehemu regarded as low life area pako nafuu sana kuliko sehemu BRT inapitia in TZ.., Githurai 45 a low end.., outskirts kabisaa 😂 😂 😂 inaweza toa kamasi sehemu za CBD yenyu,,,.,
View attachment 1888401
Tazama sehemu BRT inapitia, huu umbali kutoka kwa CBD ni ushuzi mtupu..,
View attachment 1888408
Hujui usemalo ,Mimi nimekusamehe bure
Weka aerial view ya where BRT passes.., do a comparison analysis of the surroundings in the outskirts...,Use the same scale in both imagery.
mbona link yako haipo?
mbona link yako haipo?