dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
BBC News:- when Kenya sneezes, its neighbours catches the Cold..sisi ni wale wasee afterall.. tukikohoa,.. mnaitika. aliye na nguvu, mpishe,..
mpiga ngumi ukuta, uumia mwenyewe. mta do.. sisi ndo wenye usemi EA yote, ata Kagame na Salva Kirr wanajua
nimefika central Africa nimefika kivu south mpaka Katanga kote,uandugu, Zaire kwa sababu maalum 🙂 nchi unazo zitaja hapo zinategemea the great Congo forest! Gabon, Cameron misitu ya kawaida Sana!my sister, hebu onaa.. kando na DRCongo, pia kuna Gabon, Congo republic, Equatorial Guinea, Cameroun. tz kwa mambo na miche hamnaView attachment 1889812
nakuletea Tropical Rain Forest toka google map bado hauoni.. wee kipofu nnnimefika central Africa nimefika kivu south mpaka Katanga kote,uandugu, Zaire kwa sababu maalum 🙂 nchi unazo zitaja hapo zinategemea the great Congo forest! Gabon, Cameron misitu ya kawaida Sana!
Kaa kimya kama hujui🙂!
Unajua tatizo nyie wakunya huaga mnajifanya wajuaji Sana! Unajua kuna tofauti ya tropical rainforest na jungle? Wewe umeshawahi kutembelea tropical rainforest yeyote? Au unabisha ili mradi uonekane unajua! Kingine Google haijui kutofautisha Kati ya jungle na rainforest zote zitaonekana kijani kwa map!nakuletea Tropical Rain Forest kwa google map bado hauoni.. wee kipofu nn
my sister my sister, satelite images ndo babalao. kila kitu inaanikwa liveUnajua tatizo nyie wakunya huaga mnajifanya wajuaji Sana! Unajua kuna tofauti ya tropical rainforest na jungle? Wewe umeshawahi kutembelea tropical rainforest yeyote? Au unabisha ili mradi uonekane unajua! Kingine Google haijui kutofautisha Kati ya jungle na rainforest zote zitaonekana kijani kwa map!
Unajua kusema sijui sio kosa la jinai?my sister my sister, satelite images ndo babalao. kila kitu inaanikwa wazi peupe
mwanzo wee una do nini kunyaland. si kila uchao unaipiga vita ukidai eti kenya ni nchi chochole. ka niivo mbona umekwama huku baći. si urudi bongo ulayaUnajua kusema sijui sio kosa la jinai?
Tembea shangaz Acha kutegemea mitandao siku zote🙂
Imeisha hiyo🤣🤣🤣🤣🤣mwanzo wee una do nini kunyaland. kila leo unadai eti kenya ni nchi chochole. ķa niivo mbona umekwamia huku. si urudi bongo baći
Hawa watu hushangaza Sana🚮wacha Ile siku Tutaanza kuutilize Jangwa yetu na kufanya canal irrigation,watakipata watajua watauzia Nani,Bado mambo Tuko under trainning na Israel na Egypt,once we catch-up Tutakuwa the leading producer of Food crops and cash crops in Africa,Just wait🇰🇪👊🔥🔥Maize😂 typical ldc
nadhani una upofu! ati hayo makanisa yanafanana? labda location downtown ila majengo hayo mawili ni tofauti kupita maelezo!inafanana na Holy family basilica NAIROBI
View attachment 1890152
View attachment 1890153
View attachment 1890154