Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What a fool ...usingie kweny ubishani ambao hata kuelewa ni ziro foool...unarukaruka kama chizi....ivi kuna faida gn ya kuwa na value alafu huna purchesing power...yani hata neno purchesing power parity unaona km ni kitu kikubwa [emoji23][emoji23][emoji23] zuzu la karne...peleka ujinga wako kibera fukara ww
 
Hahaha!!umepagawa kuona steel mzee[emoji1787][emoji1787]
Hyo ya juu itapitisha magari moja kw moja yanayotaka town kuelekea bila ya bugdha yyte ile..yani wewe eti ujue zaidi ya mkandarasi, pole sana kw maumivu
Sasa hio na pangani tofaut ni nn nasubiria jibu kutoka kwako πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…