Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

External Debt most from world bank with low intrest and very long grace periods
Hiyo ni pesa nyingi sana mnatoa nje ya nchi kulipa madeni.., so Kenya is way better than Tz, most of the money; yaani over Ksh3 trillion zitabaki Kenya, hiyo ni zaidi ya deni yenyu mtakayo toa nje ya nchi mnazo fikiria ni kidogo kuliko ya Kenya, so who is smarter now? it is economic wisdom to limit ouflow of cash from the economy., Kenya imewapiga bao hapa, tatu bila!!..,
 
CCM GOVT IS A SCAM! kiukweli 😂 😂 😂 😂 😂
 
Taifa linalipa madeni., hapo sawa.., sio kulia lia kusamehewa., na ndege kushikwa na mkulima 😂 😂 😂 😂
Na hii je?


 
gani? madeni yatalipwa yoote., wala usitie shaka..,

 
Kwahiyo runaway less than 4000m A380 haiwezi kutua? Jibu kwanza swali ndio tuendelee kufahamishana kuhusu runaway.
We ndio unapaswa kujiuliza hilo swali, manake tayari mlishasema na kutuhakikishia km hilo pipa JKIA haliwezi tua..

Ama namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…