Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

poverty below line in kenya is 43.9% kapumzike baba๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kenya's GDP PPP is $1,455 while Tanzaniaโ€™s is $879 brother, try something else
 
Hapo unachofanya ni kutaka niinyumbue .. yaani nianze hivi.. mbagala kuu, saku, rangi tatu, mtoni, kwa azizy ally, tandale kwa mtogole, maji matitu, charambe, temeke mwisho, kizuiani nk... huna hoja.. na hapa ndipo tunapofail watanzania.. hatupendi kukubali kuwa tuko nyuma.. na hata tukiambiwa kuwa wenzetu wametuacha tunakataa.. kuna mwaka nilienda HARARE.. yaan kumeendelea sana huko huwezi linganisha na hapa kwetu.. bro sisi tuko nyuma.. na tatizo kubwa ni kwamba hatuna elimu au WATZ wengi hawajatembea.. sio hivyo tu hata wakazi wengi wa DAR hawajatembea hata kufika morogoro tu ni shida.. even kibala few miles from DAR CITY..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah charambe mwisho unapajua wewe acha kutuletea siasa hapa sio uwanja wake
hesabu hzo slums za nairobi hata nguruwe hawez ishi....pole sana unajifanya wewe ndio umetembea sana na tuliotembea tumekaa kimyaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

 
Hata unyumbue vipi. Hii ndo Nairobi wewe mmakonde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ