Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww peleka ukichaa wako kariobangi...hata aibu huoni..next aje aliye timia na kuniletea picha kama hii[emoji116] apo kunya nzima
 
Chizi kaingia kwenye genge la wauni chunga ..wacha kujitoa akili....usije guswa
 
Mmmh Ila bongo noma, ni ndege mpya ya tisa, yo kunyans msijisaulishe tz tulianza kununua hiz ndege 2017 ambapo mpaka sasa ni miaka minne tu na tumeshanunua ndege 11 tayari ndege mbili zitamfikia any time soon, tukichanganya na zile ndege zetu mbili za zamani tunakua na jumla ya ndege 13, pia tumeshakamilisha manunuzi ya ndege ya mizigo ikitua tunakua na ndege 14 .. mtaweza kweli.? Kushindana nasi.?
 
Matatizo si yale yale kama ya awali..ya yule mkulima..hata hii naskia ili chelewa kulikuwa na issue canada ndo waka clear..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…