Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona hio density to and from JKIA😁




Alafu compare ha hii takataka yenu😱
 
Wewe ata kutumia akili tu imekuwa shuruba kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... unaweza nijibu kwanini sehem ambazo vaccine imetolewa kwa wingi bado kuna mambukizi makubwa ? Pili chanjo inayo tolewa ilidesigniwa kwwjili ya kirusi cha awali cha corona je ww pimbi unajua iyo vaccine ina efficience kiasi gani kwa kirusi hiki kipya...? Kitu unaweza ni kuleta ubishi wa kijinga ...kawapigie ujinga wako vilaza wenzio
 
GEZA ULOLE was a victim of fake certificates, he disappeared for a while in jf, so he has psychological pain leave him,
The covid vaccine you can't say exists when the virus is in a mutation revolution
Umeongea point yani kuna watu bado akili viazi...
 
Naweza kukujibu na itakuwa jibu langu la mwisho kuelimisha wapumbavu.

Kazi ya vaccine sio kutoa tiba bali ku boost Kinga na hakuna mahali wamesema ukipata chanjo huwezi pata tena maambukizi hasa kama una magonjwa mengineyo.Hii ni kwa chanjo zote.Alafu ukichukua uwiano wa waliochanjwa na ambao hawajachanjwa utakuta wasiochanjwa ndio wanaathirika zaidi.

Kwa hiyo kima kama wewe umelishwa propaganda za kipuuzi unakwenda tuu kama nyumbu.Aliyekwambia chanjo ni kwa ajili ya kirusi Cha awali ni nani? Unajua chanjo inaudwaje kwanza?

Kabla ya kubisha jitahidi kuwa na taarifa sahihi,chanjo ime consider mutation inayoweza fikia 100 yaani kirusi kujibadilisha hata mara 100 kinaweza kuwa contained na components za chanjo,hawakukurupuka kama wewe.

Leo Serikali imezindua rasmi kugawa chanjo na inapanga kuwafikia 60% ya watanzania ukiwemo wewe kima hapo.

Wewe na baadhi ya wajinga wenzio msipende kupotosha umma , Serikali haiwezi kuwa risk watu wake,ifanye hivyo Ili iwaje? Wataalamu wamejiridhisha kwa kutumia maabara za nje ya nchi na kwa hiyo chanjo ni salama kwa matumizi,efficiency yake soma kwa manufacturers website utaona by the way ni 98.99%,side effects ndogo ndogo ni kawaida kwa dawa zozote.
 

dah! acha uongo jamaa.. mtoto wa huyo prof nafahamiana nae na namba yake ninayo.. mzee wake wala hajafa kwa corona... you can validate your point through others lkn si kwa kumtumia huyo prof
 
Give us the date of the article..i know this was before Terminal 3
 

Kumbe hujui.

1. Kaka, chaguo la mgombea mwenza, Magufuli alimchagua Dr Hussein Mwinyi. Hili ndio lilikua CHAGUO la Magufuli.

Samia ni fitna ya Kikwete aliyekichomeka jina hili na kupigiwa kampein kwa kigezo cha "gender" ndio Mwinyi akapigwa chini.

Tafuta clip uone Magufuli akiliongelea mbeke ya CCM huko Dodoma.

2. Swala la Corona, Magufuli alikua sahihi sana hata top WHO wanakubaliana naye. Nenda South Africa ukajifunze athari za Covid safety measures za kukurupuka zilivyo athiri uchumi na kulimega taifa.

Hakuna chanjo ya Corona iliyo salama. Chanjo huchukua 10 or more years kujua side effects zake kwa short, mid na long term - hizi zote zimechukua miezi kadhaa tu na hata hao watengenezaji wanajua si salama na ndio maana wanashinikiza Serikali zote kusaign makuvaliano wakiogopa kushtakiwa kwa kitakachotokea baada ya chanjo.

Serikali nazo, hushurutisha watu kujaza form na kukubali certain conditions.


Hizi chanjo, nyingi zimepigwa narufuku kwenye nchi nyingi kwa sababu mbali mbali. Kama Johnson, Zeneka.

Thanks.
 

Umetisha!

Umenena vyema sana.
 
Ndio mana nilikwwmbia wewe ni takataka usie elewa ....yani ata mana ya vaccine nishida [emoji23][emoji23] nikweli kwamba vaccine inaongeza kinga mwili lakin haiishi apo lengo ni kumkinga muhusika na gonjwa au magonjwa flani. Swali je hii vaccine inafanya kinacho kusudiwa ?
Najua ww ni hamnazo ila acha nikulize ..ivi kama vaccine ikovyema kwanini kule visiwa vya shelisheli ambako by the way watu walio kuwa vaccinated ni more tha 60% lakini bado rate ya mambukizi iko juu zaidi?...utoto wako peleka kwa wajinga wenzio
 
Uliona wapi vaccine kwa virus ambae bado yupo kweny revolution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…