Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Labda wewe ni mgeni hapa. Tushalinganisha miji ya Tz na Kenya sana ndio tukaja na hii hitimisho, Kenya is Just Nairobi and somehow Mombasa. Huko kwingine mmezingua sana.
pure lies
 


Annael majirani zetu kenya wamekukosea nini?.....mbona unawachapa sana bakora?....punguza kaka.....waonee huruma kidogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Annael majirani zetu kenya wamekukosea nini?.....mbona unawachapa sana bakora?....punguza kaka.....waonee huruma kidogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nataka wajue Tanzania maendeleo ni nchi nzima. Kama tungeamua ku concentrate na Dar es salaam. Hayo madaraja yote kungekuwa na flyover za kufa mtu hapa. Bado sijawaonesha giant bridge "The Nyerere Bridge"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…