The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Ule uzi utakufa mwaka huu mwezi desemba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ule uzi wa cost comparison kwenye sgr wamesusa kisa bullet train dah.
Wanaona fence ya sgr kwanza kwenye hiyo video?Wakenya tambueni hapa ni ndani ya train to kigoma. [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1865157View attachment 1865158View attachment 1865159
Shida sio kusahau hawa hapo walipo wako conflicted sana maana walichofundishwa darasani na walichoambiwa wakati wanakua kuhusu Tanzania sasa ndio wanaona vitu halisi on the ground vimekaaje propaganda ya enzi hizo iliwapumbaza sanaUmeona Dar ilivyo kubwa eehh tatizo nyie kima mna ugonjwa wa kusahau sahau kama ndezi, kesho tu utalinganisha tena Dar na Nairobi wkt msimbazi tu kubwa kuliko Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya oneni mturuki anavyozidi kuwachoresha na upgraded MGR yenu, yn mm nakwambia mchina hawezi kukubali unyanyasaji alioufanya mturuki kwa upgraded MGR ya Kenya so lazima naye atataka kumuonesha kitu mturuki pale Isaka-Mwanza, onaa tunnels zetu zitakazopitisha train za umeme jinsi zinakaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1865189View attachment 1865190
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lufthansa Group to add seven long-haul routes through Eurowings Discover
MAY 24, 2021 BY MARK CASWELL
The carrier sets its sights on sunny vacation destinations as the world gets ready to fly again
Lufthansa Group has announced plans to launch seven long-haul leisure services for summer 2022 under its newly branded Eurowings Discover subsidiary.
The routes include flights from Fort Myers, Panama City, Salt Lake City, and Kilimanjaro to Frankfurt; also flights between Munich and Punta Cana, Cancun and Las Vegas.
The flights will be available to book starting this week at lufthansa.com, and will be operated by Eurowings Discover, which the group says “is specialized in tourist travel from the Frankfurt and Munich hubs.”
Simpleflying.com reports that Lufthansa had originally planned to call its new long-haul leisure brand “Ocean,” but a rethink has seen the carrier launch as a spin-off to the Eurowings brand.
The report also says that the subsidiary will initially operate with three A330 aircraft, and will aim to compete with German charter carrier Condor.
Twice weekly flights between Munich and Punta Cana, Cancun and Las Vegas will launch in March 2022, as will thrice weekly services between Frankfurt and Fort Myers, and Panama City.
These will be followed by three flights per week between Frankfurt and Salt Lake City launching in May 2022, and twice weekly services between Frankfurt and Kilimanjaro starting in June 2022. This summer, the flight schedule already includes Mombasa (Kenya) with onward flights to the dream island of Zanzibar (Tanzania).
Earlier this year Lufthansa outlined plans to offer “the most extensive range of vacation destinations in years” this summer, with an increase in destinations from both Frankfurt and Munich.
The carrier is adding 20 new leisure routes from Frankfurt and a further 13 new destinations from Munich, with a “special focus” on routes to the Caribbean, the Canary Islands and Greece.
Lufthansa Group to add seven long-haul routes through Eurowings Discover : Business Traveler USA
The carrier sets its sights on sunny vacation destinations as the world gets ready to fly againwww.businesstravelerusa.com
MY TAKE
Yajayo yanafurahisha!
Hio ni msimbazi street, nataka ile kando ya mtoHaya msimbazi hiyo hapo View attachment 1865185
Hapa si dar ausioAcha kuokota pictures wewe
Umekubali uswazi wa msimbazi ni mkubwa sioUmeona Dar ilivyo kubwa eehh tatizo nyie kima mna ugonjwa wa kusahau sahau kama ndezi, kesho tu utalinganisha tena Dar na Nairobi wkt msimbazi tu kubwa kuliko Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungesema bonde la mto msimbazi basi ungeeleweka vizuri.Hio ni msimbazi street, nataka ile kando ya mto
Unachezea mbuzi guitar bure 😂 😂 😂 kuelimisha mtanzania zwazwa ni kuosha ngurue., 😂 akili imeganda,.,And think logically it's just 27km but what is the return of investment lorry za kutoka mombasa that's the road they use garivza kuingia town that's the road they use Uganda that's the road they use tourists from the airport that's the road they use do you know the kind of traffic experienced there? Do you know how much money is lost in that traffic?? Do you know even Uganda exporters were complaining due to that road???? So dont be myopic that road will help way more that what meets the eye