Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wengi Wa jf wanaishi kwenye bedsitter...hamuweziView attachment 1864343
Unajua bedsitter ni nini kweli tuusan? ama unadhani ni kama zile one room zenyu kwa nyumba za kizamani za kiswahili Dar na choo za nje? ambako wengi mlio fika mjini kutoka vijijini mnakimbilia wakati mnaenda Dar kutafuta maisha.., hapa 👇 👇 ni wale walio nafuu, working class wa Dar ama waswahili wazaliwa wa mji., mkazi wa hapa hawezi afford a bedsitter in Nairobi.,


angalia Bedsitter vile inafanana., or google bedsitters in Nairobi ujionee., usiseme naweka picha kwa porojo, mimi sio mwehu kama wenzako wa kupotosha watu humu.., check them in google..,



FULLY FURNISHED BEDSITTER, SOUTH B.., google u confirm, mimi sio mwehu kama wenzako walivyo..,




  1. MODERN BEDSITTER AT SOUTH C MUGOYA
Country
Kenya






Average Price​

For Bedsitter/Studio, Rent, Per month
Perfect Price
KSh 7,500
Average Price
KSh 8,231
We used 784 listings

Similar Ads​



Smart Spacious Bedsitter Fore Rent In SOUTH C​



So elewa bedsitter ni nyumba ya one room with open kitchen, choo na bafu ndani., ya wale wana anza maisha mjini, na wanafunzi wanosoma colleges na campus lakini wanatoka mashinani.., sio one room kama za kwenyu..,
 
Acha kubwabwaja bure ukweli ndio huu.
 
Hii road inaitwa ua ua yani inaongoza kuua hii road kule Kenya, na hii road ni chafu hakuna mfano wake ila wakunya wanaleta ikiwa imepigwa make up kama hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1864363
Wivuuu., hapa hakuna make up yeyote., iko vile na nyasi ya kupendeza., hakuna kama hii Dar.,
 
Hapa umemfinya makende, akirudi niite
 
Bedsitter ni bedsitter wacha kujifanya unakiswahili kingi. ...mtu anafaa aishi kwenye nyumba sio chumba
 
Embu tuelezee kwa kiswahili bedsitter ni nini kama sio chumba kimoja?
 
Kuna mbwa alikuwa anatafuta Aquatic stadium in Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1863547View attachment 1863549
Sorry to interrupt your party..
Kuna mbwa alikuwa anatafuta Aquatic stadium in Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1863547View attachment 1863549
This Kenya Maritime Academy Swimming pool formerly Bandari College... tafadhali muache kuiba picha wabongo
 
Embu tuelezee kwa kiswahili bedsitter ni nini kama sio chumba kimoja?
kwani haujui kusoma., bedsitter is one room house with open kitchen and washroom., sio zile zenyu room moja moja ndani ya swahili houses na choo za nje., ama google bedsitters in nairobi or kenya. Ukija Kenya useme unataka bedsitter utaonyeshwa na bei yake, ukisema unataka one room pia utaonyeshwa ile plain room., umeelewa sasa?, so hapa wacha linguistics, tumia maana ya neno in context., Bedsitter in Kenya sio bedsitter in Tanzania..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…