Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Yaani leo nnao kudadeq zao uzuri moto wangu wanauelewa

Bado nazama chimbo zaidi nainuka na makombora latest muda wowote, acha wajichanganye kudadeq zao mazafantaz πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ukitaka kukosana na mtanzania mwambie ukweli πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£


Now I know why they are behind Uganda in infrastructure development index πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡






 
As of 2020 baby don't cry

Leo Utaeleza yote vampire wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Endelea kukaza fuvu kaa ndondocha la kunyata
Watanzania we have a meeting πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



Vs

 
Tanzania ina tarmac gani? Na juzi hapa The best 007 alipiga picha ya kwao na njia ilikua mchanga kenya kupata njia kama hiyo lazima usafiri
 
Mbona hutaki kuelezea tofauti ya improved na paved we mang'aaa 🀣🀣🀣
Naona umeanza kuchange gear, please don't give up ndio tumeanza gameπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

I need any sane Tanzanian here to compare and contrast πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡





Vs

 
Alafu bado wanashangaa mbona wako nyuma ya Uganda in infrastructure development index πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡





Vs




Conclusion πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
3k paved the rest ni improved, moram and dusty 🀣🀣

Maneno ya WB hayo πŸ˜…πŸ˜…

Unateseka ukiwa shimo gani?πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚




Vs




ConclusionπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Tanzania ina tarmac gani? Na juzi hapa The best 007 alipiga picha ya kwao na njia ilikua mchanga kenya kupata njia kama hiyo lazima usafiri


WB wanaowapa pesa za kujenga hizo barabara ndio wamesema mpaka saivi mna 3k za paved

Makasiriko yote yaelekezwe WB πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ataongeaje mkuu umeshamkamata Kende
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Amebakia kuweka vitoilet papers vya kukamatia mandezi

Kunyata anawaambia kawajengea 13k ndani ya miaka miwili na wenyewe wanakubali πŸ˜…πŸ˜…
 
WB wanaowapa pesa za kujenga hizo barabara ndio wamesema mpaka saivi mna 3k za paved

Makasiriko yote yaelekezwe WB πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Please ongeza sauti maybe watakuskia, ama nikupatie microphone πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡





Vs




Conclusion πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…