Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe sio 4k ni 3k [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi wacha nijitoe just know our roads are several kilometers and superior wareva those Tanzanians will tell you to make themselves feel better dont buy it... they delusional me am out will be back when the topic changes
 
Hawa jamaa comedian kweli ukikutana nae mjini amevaa suti utafikiri ni mtu wa maana sana sasa ngoja jioni uone anapoelekea kupumzika kiberaaaa. Hivyo hivyo hufanya kwenye data zao katika ngazi zote.
Piga kwako picha nami nipige kwangu tuonyeshe na ukipiga kwa neibour tutajua
 
Yani we PIMBI kweli unaongelea puani kabisa kwamba utani trace, daahhh ujanja wa kizamani sana huu, how old are you kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe sio 4k ni 3k [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena alizoacha mkoloni 🤣🤣🤣

Wewe inakuingia akilini Kunyaland iwe na barabara nyingi kuliko tanzania yet Tanzania mikoa yote inafikika kwa lami wakati Kunyaland lami ni naipori-slums-everywhere tu na counties za pembezoni?🤣🤣🤣
 
Mimi wacha nijitoe just know our roads are several kilometers and superior wareva those Tanzanians will tell you to make themselves feel better dont buy it... they delusional me am out will be back when the topic changes
View attachment 1863238
Naton Jr kweli kiboko, wameelewa watake wasitake kwamba wana 3km of paved roads [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Toilet paper ya jubilee as usual 🤣🤣🤣🤣

Hizo pumba si ndio zimefanya Muwe exposed au unafikiri ni nini?

Pambaneni na 3k zenu mdogo mdogo 🤣🤣🤣
Wakati unalia mimi nakudunga na facts 😂🤣😂🤣.
Please compare and contrast😂🤣😂🤣😂

Kenya.

Vs

Tanzania
 
Naton Jr kweli kiboko, wameelewa watake wasitake kwamba wana 3km of paved roads [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅 Yaani leo nnao kudadeq zao uzuri moto wangu wanauelewa

Bado nazama chimbo zaidi nainuka na makombora latest muda wowote, acha wajichanganye kudadeq zao mazafantaz 😅😅😅
 
Hili swali huwa najiuliza sn, Tz ni kubwa mara mbili ya Kunyaland alafu Tz miji yote ina fikika kwa lami alafu anakuja mtu kanchi kao kamejaa vumbi eti wametupita, hili jambo hata Wakenya wa humu hawakubali sema wanajikaza tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Msisahau jamaa wa maendeleo chapchap alifanya re-surfacing tricks tu! Hamna barabara pale!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Yaani leo nnao kudadeq zao uzuri moto wangu wanauelewa

Bado nazama chimbo zaidi nainuka na makombora latest muda wowote, acha wajichanganye kudadeq zao mazafantaz [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani we PIMBI kweli unaongelea puani kabisa kwamba utani trace, daahhh ujanja wa kizamani sana huu, how old are you kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umefanya nimetoka JF. Ile siku ntakupata, tuongee nitarudi JF. WALLAHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…