Kenya huwa mna mbinu chafu kibiashara mkiona product inatishia soko lenu mnapiga marufuku , ila Tanzania imekomaa kiushindani maana product zinaingia zinashindana na za ndani , na za ndani mwisho wa SIKU zina win soko,Eh! unanikumbusha SABMiller!!! S.A hawaezi penya Kenya.
sio tu omena(dagaa)...mpaka kwa uhakika wa chakula,tunaongoza.
hakuna mbinu chafu jomba. hakuna marufuku yoyote iliyotolewa. Kenya tuko na biashara huru, ukichengwa tulia. i did love the fight between EABL and SABMiller tho! prices za beer zilishuka chini. consumers ndio waliofaidiKenya huwa mna mbinu chafu kibiashara mkiona product inatishia soko lenu mnapiga marufuku , ila Tanzania imekomaa kiushindani maana product zinaingia zinashindana na za ndani , na za ndani mwisho wa SIKU zina win soko,
spensa_e
ujinga utaacha. sasa unaongelea vituko gani izo wakati watu wamekula hamburgers na pizzasio tu omena(dagaa)...mpaka kwa uhakika wa chakula,tunaongoza.
Da! Wanikumbusha mbali ndugu[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
fishing activities at lake tanganyika in LDC/fishing village.
Mitungi ya Chang'aa hiiIs that SGR train very different from this one? Just compare pleaseView attachment 545810 View attachment 545809
naah we have betterDo Kenyans have a flyover or just a interchange like the one we have??View attachment 545773View attachment 545774
while you are bragging for eating hamburgers and pizza,some of your fellows were shot for demanding more than two packets of unga..SMH.ujinga utaacha. sasa unaongelea vituko gani izo wakati watu wamekula hamburgers na pizza
povu sasa hili...[emoji23] [emoji23] [emoji23]i also love Azam Energy drink here in Kenya but inauzwa vichochoroni. huezi ipata kwa supermarket
Do Kenyans have a flyover or just a interchange like the one we have??View attachment 545773View attachment 545774
tazara flyover....kazi inaendelea kwa speed and standard....hapa kazi tu.
Do Kenyans have a flyover or just a interchange like the one we have??View attachment 545773View attachment 545774
hapana ichoboy...hii siyo kweli....serious!.....nahisi hii ni picha ya zamani sana...kipindi kile alipokuja na mkewe Beyonce.
πππππ yuko bongo anakula batahapana ichoboy...hii siyo kweli....serious!.....nahisi hii ni picha ya zamani sana...kipindi kile alipokuja na mkewe Beyonce.
wahenga husema "hata mbuyu ulianza kama mchicha.