Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado kununua ndege kwa hela za ndani, Mradi wa umeme jnhpp etc
 
Umepanic mzee bila shaka[emoji1787][emoji1787]
Watala ipi manake km ni lile dume letu ni superior ukanda huu, linakubebea trip moja km tatu za hicho kike chenu
Nipanic kwanini wakati hata wewe unajua treni pekee ya umeme afrika mashariki ipo Tanzania yaani nipanic na hiyo Takataka yenu?
 
Umepanic mzee bila shaka[emoji1787][emoji1787]
Watala ipi manake km ni lile dume letu ni superior ukanda huu, linakubebea trip moja km tatu za hicho kike chenu
Yaani unabeba watu wengi kuliko treni ya double decker na ya umeme?unaakili kweli treni superior ni ya umeme alafu ni double decker na speed 40km/h zaidi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…