Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa Kariakoo mahali penye unavuka barabara umeingia posta. Kariakoo ni kama dowtown huko Riveroad Nairobi na Kamkunji.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kutoka CBd kwenda ngara ni 2.4km
Kutoka CBD kwenda kariakoo ni 3.3km

Kuyoka CbD kwenda upperhill ni 4km
Kutoka CBd kwenda wetsland ni 3km

Haya niambie wewe which is which 🀣🀣🀣

Tunashindana nn mm na wewe hapa
 
Kutoka CBd kwenda ngara ni 2.4km
Kutoka CBD kwenda kariakoo ni 3.3km

Kuyoka CbD kwenda upperhill ni 4km
Kutoka CBd kwenda wetsland ni 3km

Haya niambie wewe which is which 🀣🀣🀣

Tunashindana nn mm na wewe hapa
Kitu kinagawanyisha Posta na Kariakoo ni barabara mjinga wewe. So unataka kuniambia kwamba upana wa hiyo barabara ni kilometer tatu? Eti kwamba ukivuka hiyo barabara kutoka upande mmoja hadi nyingine utakuwa umetembea kilometer tatu!! Wewe unadhani kila mtu hapa ni kilaza kama wewe?
 
Ww ni pumbu tena pumbu ya kenge 🀣🀣 aliekwambia ni bara bara moja nani?? Ww tatizo unajifanya mjuaji sana wakat u know nothing, ukitaka kujua uliza ufundishwe karikoo na CbD ni vitu viwili tofaut πŸ˜„πŸ˜„
 
Nairobi CBd to ngara 2.4km
Nairobi CBd to westland 3km
Nairobi CBd to upperhill 3km

Hvi wewe Nicxie mm na ww tunashindana nn hapa ?? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mambo mengine nyamaza uepushe funza kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…