Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar haupati such view ya residential.., itakua low life residentials..,
View attachment 1853380
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mshamba ni bora urudi village tu hakuna unachojua kuhusu dar ila ni kweli maana hivyo vichaka sisi hatuna kwa hiyo view yetu haiwezi fanana na yenu sababu yenu ipo empty jitahidini kujenga bado sana mnafuga nyani.
 
Kiswahili weka pembeni., weka hapa evidence, nikuumbue sahi.., siongei porojo..,
 
Westlands views from University of Nairobi compound..,
 
Malisaaaaa yeye 😂😂😂😂😂
 
QUOTE="Lusematic, post: 39631980, member: 413388"]
hayo masuala ya metro si point ya msingi kiafya,tunachotaka nairobi isimame pekee hiyo hoja ya kuunga unga county nyingine kwa kisingizia metro hiyo hoja haina mashiko.

ndani ya nairobi hupati huu ujazo vinginevyo ukimbilie kwa Mr.metro hapo ndipo utakuwa umefanikiwa kuescape komboraView attachment 1853378
[/QUOTE]
Hakuna dual inafika chanika stop forcing issues and tell your government to work.
 
Hakuna dual inafika chanika stop forcing issues and tell your government to work.
[/QUOTE]
Ukweli kabisa., meanwhile as he consults ccm govt., Westlands is far better than the best parts of Dar CBD.., waliweka awali..,
WESTLANDS on steroids🔥🔥🔥..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…