Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sehemu moja mara kumi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

DAR CBD vs WESTLANDS .., Hii hapaπŸ‘‡πŸ‘‡ umemaliza mchezo.., the best towers ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Main CBD, sura ya Dar kama Dar


Westlands pekee.., πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Inafurahisha jinsi watanzania wanajibu comments zetu kwa unyonge πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Yani nguvu inewaishia kabisa
Hawana majibu mwafaka.., ni kiswahili mingi, ona Dar sasa, tunaipangua one by one, ona vile developed area ni ndogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inafurahisha jinsi watanzania wanajibu comments zetu kwa unyonge [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani nguvu inewaishia kabisa
Yaani nchi masikini,nchi yenye njaa kama Kenya iipe Nchi nzuri kama Tanzania unyonge?
 
hivi nyie kunguni wakikenya mnaakili kweli...?,,

yaani mpo hapa kizembe mnakomaa kushindana na Dar City jiji la kibabe kwa road distance wakati in reality dar nikubwa kuliko nairobi,hebu acheni uchizi tafuteni shughuli za kufanya mnapoteza mda for nothing.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pale pale Dar CBD tu, different angle.., with the usual three musketeers..,
View attachment 1852880
A section of upper Hill business District.., bado inatesa dar CBD
View attachment 1852859
Only 3 buildings in Nairobi. Zingine ni vibanda. Can you please show us beautiful buildings kama hizi kutoka Nairobi!? Blue buildings aka modern buildings.
 
Huu wimbo wa 'Dar ni kubwa' mtauimba hadi lini? Road distance gani mnazungumzia wakati so far barabara refu zaidi mmleta hapa ni ya 40km?

Hamuoni hata aibu kwamba Nairobi licha ya huo udogo wake inawashinda mbali?

Sisi tumeleta dual carriageways ambazo zimepita hadi nje ya mipaka ya Nairobi wakati nyinyi hamna barabara kama hiyo. Huoni aibu?
Wewe ndio utafute shuguli coz so far hamjaleta dual carriageway refu kuliko yetu
 
Kwanini hutaki kuanza za kwako!? Nairobi ni mji wa wanyama. Animal's Town.
The burden of proof lies with you engineer fake. You made that clam so it's you to confirm that whatever you said is true
 
Kwanini hutaki kuanza za kwako!? Nairobi ni mji wa wanyama. Animal's Town.
The burden of proof lies with you engineer fake. You made that clam so it's you to confirm that whatever you said is true
 

Developed area ni ndogo sana.., wacha blah blah zako., haukwepi leo.., lazima upate dose..,
OLD CBD Nairobi., yaani sehemu ya zamani bado iko na mvutio..,

Two Rivers...,


The best of Dar.., VS Parklands..,


Parklands (Mix residential and business.., inatoa Dar kamasi..,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwaakili yako unahisi dar gari huwa zinapaa angani..?, au ndiyo uchizi unakuchanganya..

umepewa info hapo onyesha km za road tokea city center hadi mpaka wa mwisho wa nairobi na uonyeshe map hapa mnaishia kuruka ruka kama chura na kuvuka boda hadi other county.

yaani unaakili za kitoto sana reality ni hivi kwenye hako kapori kanairobi hakuna chaajabu hizo road mlizonazo ni vipisi vipisi ,,kwa camera mnang'aza tukija ground ni vumbi ti na mipasuko ya rami
 
Kwanini hutaki kuanza za kwako!? Nairobi ni mji wa wanyama. Animal's Town.
The burden of proof lies with you engineer fake. You made that claim so it's you to confirm that whatever you said is true
 
Your longest dual carriageway is only 40km. That's the point I am trying to pass across. Sijasema magari zinapaa angani.

Nairobi is a metro kijana. Hizo barabara tunazionyesha coz vyanzo vyao ni Nairobi. Nairobi isingekuwepo labda hizo barabara pia hazingejengwa hayo maeneo mengine. Wewe tuonyeshe dual carriageway iliyopitiliza nje ya mipaka ya Dar tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…