Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilooooo limeumia, nikianza kuweka kenya nzima mtawezana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
...Dar ikapambane na Mwanza ama Arusha., ndio level zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., CBD 10%, ushuzi 90%.., unatuambia nini wewe!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilooooo limeumia, nikianza kuweka kenya nzima mtawezana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
wamepewa evidence wao hawaleti kutoka kwao, wanatafuta matako ya kenya ili wa post, tunajua hawana jibu kwa sasa., ila tunawachokora tu.., wamechoka, waliishiwa pumzi, wahurumie tu kakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muiweke mara ngapi? Zile dual carriageways zote ni za wapi? Kenol carriageway ni ya naipori?

Punguza pumba
nje ya dar kunazo? yaani miji pembezoni za dar tu.., hakuna lolote.., kama uko na jibu post, hadithi za vijiweni wachana nazo, evidence sasa hivi.., mwaga tuone....,
 
...Dar ikapambane na Mwanza ama Arusha., ndio level zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., CBD 10%, ushuzi 90%.., unatuambia nini wewe!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama we kidume leta Estate mpya kabisa ya naipori haijawahi kuwekwa humu ndani na iwe 45 kilometers kutoka CBD

 
Walichoka zamani, wacha tuwatese πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, hadi raha.., read their responses uone vile wanahara zero points.., ni kiswahili najifunza kutokana na maandishi yao humu.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kiswahili lugha yetu ntakosaje kuijua.
 

Southern bypass ina interchanges nyingi kuliko nchi maskini duniani.​

 
Unadhani Nairobi ni mji wa barabara moja Kama dar?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


University Way.


View attachment 1852416

Nairobi GDP is $60B, Tanzania GDP is $60B.

Tz wamekosa jibu kwa Kenya inabidi waokote za wenyewe kujibu hoja ama watafute matako ya Kenya kujiliwaza, tumewabana na facts sasa wamekua chokoraa kwa google πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nyie jamaa mnachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..Ili muweze kuishinda Dar es Salaam lazimu muhusishe miji mikubwa miwili, kwasababu Dar ni package .. Ina Madaraja makubwa matatu ambayo hakuna hata moja ndani ya Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚ Heb Angalia πŸ‘‡ OLD SARENDA BRIDGEKIGAMBONI BRIDGE NEW SARENDA BRIDGEASA UJASIRI WA KUISHINDANISHA DAR NA UCHAFU WENU MNATOA WAPI.?πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanini hamtaki kukubali ukweli, hakuna kitu kilicho NAIROBI AMBACHO HAKIPO DAR, ILA KUNA VITU VINGI SANA AMBAVYO VIPO DAR TU HUWEZI KUVIKUTA NAIROBI
 
Skuizi mmekua waoga wa nairobi, sasa hizo bridges zijengwe wapi kwa inland cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nimekwambia southern bypass ina interchanges kuliko tanzania nzima.
 

Southern bypass ina interchanges nyingi kuliko nchi maskini duniani.​

Kwanini mnapenda kushindana uongo uongo.?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Ili Nairobi iishinde Dar lazima utaje majiji yenu mawili .. barabara zote ulizatajiwa zipo ndani ya Dar es Salaam, nyie Mnataja barabara kibao mpaka za mikoani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ . Ulishaambiwa kitambo Dar ni kubwa mara tatu kwa Nairobi. Any way heb taja vitu (miundo mbinu) ambavyo vipo NAIROBI havipo DAR, alafu Mimi ntakutajia vitu zaidi ya kumi ambavyo Nairobi hakuna kabisa
 
A temporary occurance na ni historia tu., wewe Dar ni ushuzi 24/7.., aerial view iko clear.., unapata taabu sana., soma your response uone ulivyo ovyo, nani kasema Nairobi ni Tokyo? nakuambia uko ovyo nanii..,
Kama una ubavu omba battle ya water and sanitation project in Dar versus Kunyaland nzima tumalize ubishi
 
Skuizi mmekua waoga wa nairobi, sasa hizo bridges zijengwe wapi kwa inland cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nimekwambia southern bypass ina interchanges kuliko tanzania nzima.
Ndio mana nikakwambia battle ya DAR lazima muhusishe NAIROBI NA MOMBASA ndio muweze kushindana nayo kwasababu Dar Ina kila kitu, Ina kila sifa, kwanini hamtaki kukubali huo ukweli .. .?
 
Mzee kichwani mwako kuna ubongo au umejaza upepo. Nyie mliweka Mombasa road which is not dual carriageway.
The length of Dual carriageways in Nairobi is only 96km but in Dar more than 160km
What do you understand by the term dual carriageway? This is Mombasa road, does it look like a single carriageway to you?

 
Kama we kidume leta Estate mpya kabisa ya naipori haijawahi kuwekwa humu ndani na iwe 45 kilometers kutoka CBD

umeandika kwa uoga sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ona unavyo jikinga kwa masharti kisa unajua kile utapata,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nikama na mimi nikuambie leta picha ya national park 20 km from dar na iwe na wanyamaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ eti na iwe mpya kabisa, kilaza weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila nitakujibu tu kwa vile hii ya estates hamuwezi kamwe, zipo..,
ama utaanza wimbo wa kukana Nairobi metropolitan kwa vile inawaumiza zaidi..,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Just a taste
Syokimau..,


Green Park, Off Mombasa road, Athi


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…