Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sgr inafanya kazi?
Nairobi interchange zipo kibao
Nairobi ina concrete jungles zaidi ya moja
Nairobi ina millionaires wengi kuliko dar
Recreational parks gani hzo?
Airport sio terminal
Modern stadium ambayo facilities kiduchu
Umeumia tutumie ky?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Three level interchange, yaani ili upate hiyo moja inatakiwa ujumlishe interchange zote zilizoko kenya failed state ndo uipate hiyo ubungo interchange [emoji23][emoji23][emoji23]
Haooooooo wameanza maneno ya khanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…