Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unatokwa povu Mzee.
Mombasa road hii hapa sasa dual carriage tuoneshe
View attachment 1851811
Kwani hujui kusoma, kutoka Machakos Junction yani unaanza kukaribishwa Nairobi ukiwa mbali kwasababu ya increase in traffic. Mombasa Road yote ni over 450km, na hakuana pahali nimeandika 450km mimi. Wewe umeshindwa kunionyesha any dual carriageway heading to Dar CBD au hata kubypass it yenye ni 30km or more. Bado unalialia tu.
 
Kibamba hadi kimara ni 19.2km njia nane plus kimara hadi kisutu 16km njia 6 jumlisha hapo ni km 35.2
 

kwan morogoro rd kutoka kibamba mpk kisutu ina kms ngap ? mbona unaweweseka sana??
nimeandika kibamba sababu ni sehem ya Dar.. lkn morogoro rd ipo hadi Kibaha mkoa wa pwani
 
Kamji kadogo kanapiga pop ya wakazi zaidi m 4,na mapori hayo watu wamejazana kwenye slums,inaripotiwa kibera pekee ina wakazi zaidi ya mln 2,jumlisha na hao wanaoishi kwenye slums zingine 😝
 
Uongo sasa jumlisha barabara zenu mbili hapa jumla ya km ulizoweka ni 121. Dar zaidi ya hapo

Morogoro road 29km
Bagamoyo road 22 km
Kawawa road 15km
Mandela road 14km
Nyerere road 18km
Kilwa road 22km
Sam Nujoma Road 7km
Shekhe Kilango Road 6km
Bibi titi Mohamed road 8km
Coco beach road 5km
 
🤣 🤣🤣
 
Hii battle ya dual carriageways tushaifunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 
Ss tuje battle ya barabara za masafa, yn huku ndio wasiguse kabisa wataumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa tumewapiga kwenye kila angle [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Govt schools
Length of SGR
Best and quality SGR
Hospitals
Stadiums
School buses
Concrete jungle
Five star hotels
Residential homes
Airports
Bridges
Rural electric connectivity
Access to clean and safe water
Public Transport services
Dual carriageways

Kila mtu shahidi humu mana mijadala inawekwa wazi kila mtu anajionea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…