Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which level Mzee. Mmeshindwa kujenga barabara Turkana. Au Turkana siyo Kenya!?
Wewe unafikiri Kenya ni kama Tanganyika? Turkana receives the second biggest allocation of devolved money after Nairobi so what do you expect? Endelea kutoka povu sana engineer
 
Nimecheka sana yn watu wanataka kufananisha Nairobi na Dar interms of development wkt huo huo moja ina modern facilities nyingine haina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
A Tanzanian should not talk about development πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Dar wealthy suburbs hata lami hakuna, Masaki ni middle class neighborhood hapa Nairobi.
Masaki is their best neighborhood na imejaa apartments pande zote. Kuna video fulani niliona ya Masaki and I was surprised kuona kuna baadhi ya sehemu hazina hata tarmacked roads. You can't find that in Runda, Muthaiga, Karen, Gigiri and other affluent areas of Nairobi
 
Facts
 
Tangu Olympic ianze mko tu na medals mbili, Sasa Nini inakudanganya ya mwaka huu mtapata hata participation certificate?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1851025
Yani we are almost doubling the medal count of our 'closest' challengers Ethiopia at 45 medals against Kenya's 86!

Zile viwanja tunaambiwa ni modern kazi yao bado tu ni kuandaa mikutano ya sisiemu ama walishaanza kuwa serious na michezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…