Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona machinga complex imekuzuzua. Tukikuletea madude si utakuwa mwehu.
 
Nikikupa mambo kama haya si utapotea!!!

Quality Center Mall​









 
Its too difficult kumiliki nyumba kenya especially kama una pesa za kawaida
Sio kumiliki nyumba Kenya, sema kumiliki nyumba Nairobi cz ardhi yote wameichukua politicians pamoja na foreigners, km unataka ardhi Kenya ipo nje ya Nairobi mana Kenya ukitoa Nairobi inakaa ushagoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata hizo sehemu nyingine hata process za kumiliki ardhi ni gharama sana kuliko ardhi yenyewe.....
Tz ni very simple
 
Kama nchi yako haijengi bridges si utulie uone wanaume tunavyojenga vitu vya ulaya na co kulalamika uku ukikata viuno, "hamna bridges" kwahiyo nikubake au!?
 
Hata hizo sehemu nyingine hata process za kumiliki ardhi ni gharama sana kuliko ardhi yenyewe.....
Tz ni very simple
Bado unasimulia hekaya za nyerere tu bado[emoji1787][emoji1787]
We si una hela!njoo nazo uone hzo process achana na hadithi zavijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…