The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Umewahi kujiuliza kwa mfano msingekuwa na huo mradi mngeshindana nn na Tz? Sisi tuna miradi mingi mikubwa tunafanya kwa wakati mmoja SGR, Ship buildings, Airports, JNHP, Ports, BRT, expressways etc.. hii miradi nimetaja hapa thamani yake ni kubwa mno hakuna nchi ya kufananisha East and Central Africa and even to many countries in Africa, sasa je kama mchina asingejenga hiyo road moja mnayokesha nayo humu je ungeongea nini kwa mfano, Mana cc tunaweka miradi mingi wenzetu mmeganda na expressway pekee asubuhi mchana jioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1846130View attachment 1846131Yani hii nchi ya ajabu sana, leo hii sikutarajia tuwe na expressway kali sana kama hii lakini ishatokea. Sijui kesho tutazindua mradi gani mwingine. Watanzania bado wanasubiri mkopo kutoka morocco[emoji1787][emoji1787]
LAPSET pekee imebeba all those umetaja so heshimu wakubwa wakoUmewahi kujiuliza kwa mfano msingekuwa na huo mradi mngeshindana nn na Tz? Sisi tuna miradi mingi mikubwa tunafanya kwa wakati mmoja SGR, Ship buildings, Airports, JNHP, Ports, BRT, expressways etc.. hii miradi nimetaja hapa thamani yake ni kubwa mno hakuna nchi ya kufananisha East and Central Africa and even to many countries in Africa, sasa je kama mchina asingejenga hiyo road moja mnayokesha nayo humu je ungeongea nini kwa mfano, Mana cc tunaweka miradi mingi wenzetu mmeganda na expressway pekee asubuhi mchana jioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Danganyikans are still living in the 18th century. Very primitive backwards people. Hata PayPal hawajui ni nini? 😂🤣😂🤣🤣
Unajiliwaza tu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 expressway gani mnajenga nyi maskini, port gani mnajenga zaidi ya lamu port, Sgr watu walimaliza miaka mitano iliopita mpaka leo mnahangaika, Brt ya electric inatua nairobi, airpot gani mnajenga mwanza na arusha vibanda vya mvua, Niendelee ama nikuwacheUmewahi kujiuliza kwa mfano msingekuwa na huo mradi mngeshindana nn na Tz? Sisi tuna miradi mingi mikubwa tunafanya kwa wakati mmoja SGR, Ship buildings, Airports, JNHP, Ports, BRT, expressways etc.. hii miradi nimetaja hapa thamani yake ni kubwa mno hakuna nchi ya kufananisha East and Central Africa and even to many countries in Africa, sasa je kama mchina asingejenga hiyo road moja mnayokesha nayo humu je ungeongea nini kwa mfano, Mana cc tunaweka miradi mingi wenzetu mmeganda na expressway pekee asubuhi mchana jioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu taja thamani ya LAPSET tafadhali ili leo nikuumbue kwa mara nyingine, mana wewe humu tayari ushaonekana ni mkunya muongo na mwizi namba moja.LAPSET pekee imebeba all those umetaja so heshimu wakubwa wako
Hapana ni hampendi ukweli na mko Petty na mko na machunguHebu taja thamani ya LAPSET tafadhali ili leo nikuumbue kwa mara nyingine, mana wewe humu tayari ushaonekana ni mkunya muongo na mwizi namba moja.
Umeshindwa kutaja au sio, sasa kaa kimya wakati wanaume wanafanya yao.Hapana ni hampendi ukweli na mko Petty na mko na machungu
Kama watoto wadogo wakishtaki kwa mwalimu wao eti ameiba picha hehe huo ni utoto as a grown up you think logically unaangalia mradi unao ongelewa and if it's that magnitude mtu amesema that's what is important... in make over videos Huwa si wana reenact a past event using diffrent pictures but they pass the message across bro muwache utoto you grow up... be logical thinkers sometimes use this things to learn si lazima uzushi tu....Hebu taja thamani ya LAPSET tafadhali ili leo nikuumbue kwa mara nyingine, mana wewe humu tayari ushaonekana ni mkunya muongo na mwizi namba moja.
Thamani ya miradi yote hiyo times 10 haifiki hata nusu gharama ya daraja la JPM Busisi MwanzaSome of infrastructure projects in Mombasa
1. Changamwe interchange
2. Mikindani interchange
3. Jomvu interchange
4. Mombasa- mariakani highway(42km)
5. Makupa causeway bridge
6. Mwache bridge
7. Mteza bridge
8. Dongo kundu phase 2
9. Dongo kundu special economic zone
That's from United nations a legit source now tell me what you were talking about a freaking $24billion that is 55656000000.00 TZS double your annual budgetUmeshindwa kutaja au sio, sasa kaa kimya wakati wanaume wanafanya yao.
Na lappset pekee inazidi budget yenyu mara mbiliThamani ya miradi yote hiyo times 10 haifiki hata nusu gharama ya daraja la JPM Busisi Mwanza