A bus terminal in different from just saying terminal. Kilaza mwenzako used the word terminal, not bus terminal. I hope you know the word terminal has different meanings in the English dictionary
Mzee mpaka unaweka picha za Tanzania huna aibu.
Jengo uliloliweka AAR lipo Tanzania Dar es salaam mtaa wa Victoria
Visibility is weakness, mere show off, nothing modern but ushamba., Kama akina Rwanda na Uganda.., combat uniform..,
Mombasa city ndio mwenzenu..,Ila wabongo tuna dharau sana, yani hii interchange wala hatuizungumzii, wao sasa wakipost vi interchange vyao vichafu, utawaskia wakisema eti Tz nzima hakuna 😂😂😂😂.. Mmh Dar tamu bhana
View attachment 1845951View attachment 1845952View attachment 1845953View attachment 1845955View attachment 1845956View attachment 1845958
😂😂😂 Ila we jamaa unachekesha sana, sasa kwani Geza kasema ni mashindano 😂😂 Heb ona polisi wenu walivyo wazembe, sio bure mnapigwa na kuuliwa hovyo na vijana wa alshabab 😂😂👇Visibility is weakness, mere show off, nothing modern but ushamba., Kama akina Rwanda na Uganda.., combat uniform..,
View attachment 1845957
Cha ajabu hapo ni nini haswa? kilaza.,
Uki post hapa anything lazima watu wa react if need be.., hii yako na security ya rais inapatana wapi?.., polisi ka perembwa hapo safi😂😂😂 Ila we jamaa unachekesha sana, sasa kwani Geza kasema ni mashindano 😂😂 Heb ona polisi wenu walivyo wazembe, sio bure mnapigwa na kuuliwa hovyo na vijana wa alshabab 😂😂👇
Sitaki kukushangaa ushamba ni mzigo. Nataka kukufundisha kidogo naanza kidogo kidogo uingie kwenye 18 zangu.Visibility is weakness, mere show off, nothing modern but ushamba., Kama akina Rwanda na Uganda.., combat uniform..,
View attachment 1845957
Cha ajabu hapo ni nini haswa? kilaza.,
Toa huu uchafu wewe 😂😂😂 .. weka interchange kali kama nilioweka mimi sio Unaleta uchafu hapaMombasa city ndio mwenzenu..,
View attachment 1845969
View attachment 1845973
View attachment 1845974
View attachment 1845975
View attachment 1845978
View attachment 1845979
View attachment 1845980
Na Changamwe interchange, Mombasa bado inajengwa..,
Hicho kinajikuta wa mjini kweli na wala hana lolote, watoto wa mjini kila mtu hu mind ishu zake..Wewe endelea kuhangaika na maisha ya watu usiowafahamu. It says a lot about you as a person kama hujui. Jana niliona ulitaka Ku 'expose' Komora96. How far have you reached in exposing him? Kuna wakati mimi pia ulitaka kuniexpose. How far did you go private investigator? Ama bado unagather evidence? [emoji23]