Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ufukara tatizo.., facts kill propaganda
 
Vimechoka, hawana anything more beyond what they have been posting here..,
 
They have sunk this low!! 😂 😂 😂 😂 kuketi vijiweni idle na ufukara ni mbaya, especially poverty kwenye fikra..,
 
1. Walianza Schools tukawapiga
2. Wakaja Hotels tukawagonga
3. Wakaja School buses tukawaliza
4. Wamekuja Hospitals wameangukia pua.

Hakuna topic wanaiogopa na kutetema kama ya Roads and Bridges. 🤣 🤣🤣
Hehe vifurahishe tu hehe sometimes si mbaya kuwqcha the less fortunate to have a moment
 
If the entire building is a hospital hilo bango la Platinum Credit on the left linafanya nini hapo? Na hizo 'To let' signs kwenye ghorofa ya pili ni za nini?
🤣🤣🤣🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️kumbe wao ndo walikua wanapoat clinics kama hospitals 🤣🤣🤣🤣 mdo maana walikua wanajishuku saana wanaanza kujitetea na picha.... they belong to the street
 
Narudia tena international awards tunazo kibao kama mchanga,usidhani kama mnatuweza,sie kimziki tupo mbali sana kitambo hata diamond hajatokea kulikuwepo akina TID,ray c,sir nature wote hao walikuwa wanachukua awards
Tanzania kuna yyte aliyewahi beba award ya kimtaifa km vile grammy
 
Tuliza mshono wewe mada ilikua ni hospitali hapa hyo ya picha kaitafuta uzi
 
Huyo kilaza anakuanga hivyo. Anateseka kuchunguza maisha ya wengine wakati yake imemshinda
Mtu mwnywe kalegea nashangaa hzo nguvu zote za kuteseka kw ajili ya vitu vidogo vidogo antoaga wapi
 
asilimia kubwa kwa hili bala la africa wanakimbilia nchi za hovyo sababu,,huko ndiyo rahisi kupata pesa na kueleweka hata kama wana miradi kandamizi,,wanajua kabisa wanamwaga pesa rushwa kisha wanawekeza kirahisi baada ya hapo ,,wanakandamiza mara 10 ya walichotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…