Je, wakumbuka ukisema GTC ni render?Asante kwa render πππππ
Kinachowaumiza nyie ni concrete jungle na wala sio kingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Je, wakumbuka ukisema GTC ni render?
Je, wakumbuka ukisema Expressway in render?
Je, wakumbuka ukisema 88Nairobi ni render?
Je, wakumbuka ukisema CBK Pension House ni render?
Je, wakumbuka ukisema Parliament Tower ni render?
Je, wakumbuka ukisema miradi nyingi za Nairobi ni render, mwishowe unaaibika?
Haven't you learnt something bongolala?
Hapo kuna kuchanganyikiwa kweli! Ni ukweli, Tz ni hiyo Dar moja tu, yenye CBD ndogo na ushuzi kubwa zaidi!., outside Dar hupati flyovers/interchanges., organized estates kwa wingi, economic output., dual carriageways ni chache sana, na fupi kama ziko outside Dar.., nchi bado fukara, bado mnajenga ila kelele ndio mingi!πππ Tulieni brathe..,jeuri punguzaMbn huwa unajichanganya? Mara useme Tz ni Dar tu mara useme imejazwa na unplanned settlement inferiority complex itakuua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magorofa yenu ndio haya yamezungukwa na uswazi. Ama kuna zingine utanionyesha zaidi ya hizi?Weka hayo maghorofa tuyaone alafu na mm niweke ya Dar ili tulinganishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao uliowaweka km ushahidi now washakaa kmy, ni UFIPA hao washanyamaza kwa ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kuna kuchanganyikiwa kweli! Ni ukweli, Tz ni hiyo Dar moja tu, yenye CBD ndogo na ushuzi kubwa zaidi!., outside Dar hupati flyovers/interchanges., organized estates kwa wingi, economic output., dual carriageways ni chache sana, na fupi kama ziko outside Dar.., nchi bado fukara, bado mnajenga ila kelele ndio mingi![emoji23][emoji23][emoji23] Tulieni brathe..,jeuri punguza
View attachment 1843922why
I can count all those buildings., na nilinganishe na the whole Easleigh uone ukweli msio pendaπππ., Walai pia flats za Eastlands are more than these in your CBDπππ., yaani false illusion tunaumbua this time round, tulikua tumewanyamazia sana!Ile siku Nairobi itapata concrete jungle km hii just tag me [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1843918
Atakujibu na Kibera eti sasa.., πππππMagorofa yenu ndio haya yamezungukwa na uswazi. Ama kuna zingine utanionyesha zaidi ya hizi?
View attachment 1843920View attachment 1843921View attachment 1843923
Mimi naweza kukuonyesha magorofa mengi nje ya cbd. Wewe utanionyesha nini?
Onesha kama hizi Nairobi tuone ili tukubali kwamba mna msuli wa kubishana na sisi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magorofa yenu ndio haya yamezungukwa na uswazi. Ama kuna zingine utanionyesha zaidi ya hizi?
View attachment 1843920View attachment 1843921View attachment 1843923
Mimi naweza kukuonyesha magorofa mengi nje ya cbd. Wewe utanionyesha nini?
Concrete jungle? π π π Toka nje ya cbd kidogo tu utuonyeshe hiyo concrete jungle tuone. And make sure it's aerial view, not horizontal.Kinachowaumiza nyie ni concrete jungle na wala sio kingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu weka tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I can count all those buildings., na nilinganishe na the whole Easleigh uone ukweli msio penda[emoji23][emoji23][emoji23]., Walai pia flats za Eastlands are more than these in your CBD[emoji23][emoji23][emoji23]., yaani false illusion tunaumbua this time round, tulikua tumewanyamazia sana!
Nimekuambia utoke nje ya hiyo cbd yenu utuonyeshe hiyo concrete jungle tuone. Otherwise you're just proving my earlier statement that you got nothing outside that cbdOnesha kama hizi Nairobi tuone ili tukubali kwamba mna msuli wa kubishana na sisi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1843926
Mbali kabisa na CBD [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Concrete jungle? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Toka nje ya cbd kidogo tu utuonyeshe hiyo concrete jungle tuone. And make sure it's aerial view, not horizontal.
Cku hz Wakenya wanaiogopa CBD ya Dar kinoma noma niko hapa leo mpk saa saba usiku atokeze mkunya anayejiona ana msuli au UFIPA yeyote yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuambia utoke nje ya hiyo cbd yenu utuonyeshe hiyo concrete jungle tuone. Otherwise you're just proving my earlier statement that you got nothing outside that cbd
Mtanzania akisema ukweli with facts yeye ni ufipa ama hana uzalendoππππ nyambaffππππ., bado kwa uzi zenyu wanajua ukweli.., ebu fungua huu uzi kule section ya habari na hoja mchanganyiko ama siasa., uone majibu kutoka kwa wakweli, sio shabiki uchwara., ama ubabe usio na facts., ni misifa tu., I dare u uone, utajibiwa na watanzania wenzako kwa mpigo., Kama vile walijadili ukulima baada ya Kenya kufunga mpaka., facts were laid bare by Tanzanian farmers na wana biashara kwa kulinganisha., ππππHao uliowaweka km ushahidi now washakaa kmy, ni UFIPA hao washanyamaza kwa ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I asked for aerial photos, not horizontal ones. Alafu unasema picha Ni za mbali sana wakati MNF linaonekana vizuri sana picha ya mwisho?Mbali kabisa na CBD [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1843927View attachment 1843928View attachment 1843929
Hehehehee jaribu kunifuatilia ninapoenda majukwaa mengine mfano jukwaa la siasa, huwa nawagalagaza kwa facts na sijawahi kushindwa mm kubaabeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtanzania akisema ukweli with facts yeye ni ufipa ama hana uzalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyambaff[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., bado kwa uzi zenyu wanajua ukweli.., ebu fungua huu uzi kule section ya habari na hoja mchanganyiko ama siasa., uone majibu kutoka kwa wakweli, sio shabiki uchwara., ama ubabe usio na facts., ni misifa tu., I dare u uone, utajibiwa na watanzania wenzako kwa mpigo., Kama vile walijadiki ukulima baada ya Kenya kufunga mpaka., facts were laid bare by Tanzanian farmers na wana biashara kwa kulinganisha., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuiyogopi, tumeitambua kikamilifu, sasa Kiswahili chenyu kuihusu haituchanganyi kamwe.., facts ziko wazi tu πππ., Dar kazi yake tumemaliza.., Mimi nilishamaliza na drone clips., and when I went there for work some years back kama bado brt was still under construction., makazi yenyu ni ya kimasikini na ni kubwa sana, mtu anaweza potea ndani kama ni mgeni!.., Dar ni Lagos na Kinshasa tuπππ., Kinshasa CBD yao ni kubwa kuliko Dar by far!ππ Makazi uchwara kwa wingi, mnafanana tu.Cku hz Wakenya wanaiogopa CBD ya Dar kinoma noma niko hapa leo mpk saa saba usiku atokeze mkunya anayejiona ana msuli au UFIPA yeyote yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]