Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona sasa unalia lia na propaganda, a one off event ndio sasa unafikiria ndio mtindo.., nikikuambia wewe ni zwazwa usipingane na mimi tena, unaendelea kujianika tu😂😂😂😂😂., nyambaff., full mukwara at his best😂😂😂😂
 
Huyo ni kilaza mwenye degree ya ukichaa😂😂😂😂😂😂
 
Wewe hunanga akili, so nyumba refu isionekane kwenye picha cause haipo Kilimani? Ama unapinga kuwa happy sio Kilimani?😂😂😂
Uhehehe ndio maana huabtunawaambia nairobi ninndogo sana tena sana 🤣🤣 sasa picha kama hio unaita kilimani wakat part of westland iko ndani
 
Hii itakua sehemu ya another CBD in Dar.., yaani wata irank as another CBD, vile Nairobi Kuna Westlands, Kilimani na UpperHill... Eastleigh will definately be a CBD in bongolala, low standards!😂😂😂
Exactly. Dar once you step out of cbd hamna kitu tena. Watakuonyesha tu vigigorifa mbili tatu vya Kijitonyama and that's it. Look at Mombasa road area which is several kilometers from the cbd
 
Na hio ni kilimani 🤣🤣🤣👇👇 still in kilimani au sio mavi ya kukuView attachment 1843793
Semi illiterate vipi tena😂😂😂., anything tall from a far off can appear to be near, an illusion of a shorter distance by highly elavated objects!😂😂😂 kama vile tuna weza kuona Mt. Kilimanjaro kutoka Kenya kwa umbali ama Mt. Kenya, inaweza onekana kua ni karibu, inakupea a false illusion utadhani unaeza ukaifikia kwa kutembea kwa miguu mda kidogo ilhali Mt.Kenya iko like 4hours away when driving.., kwa hivyo tall buildings inaweza onekana iko near, sehemu like just across the road., but sio hivyo, I said wewe ni semi illiterate, sio tusi, ni compliment., unadhihirisha tu.., 😂😂😂😂., jaribu kushirikisha ubongo whenever responding ama fyata tu.😂😂😂😂., nimekumiss wacha nikuchokoze tu kabla sijalala..,
 
Part ya westland ndani alag unasema still kilimani 🤣🤣🤣🤣 akili yako na ya mwenzako ziliishia kwneye matundu ya vyoo vya bar??
Nairobi ni ndogo sana ndio maana unaona picha moja imekusanya westland, CBd pamoja na upperhill 😆😆😆😆😆
 
Nilijua wataishiwa na pumzi hivi karibuni.., wakileta area, iweke kwa aerial view hiyo area linganisha na sehemu Nairobi vile vile., zao zitaisha kwa haraka, wabaki na empty Kiswahili😂😂😂, huwa wananifurahisha kweli!., Mara wakimbie Turkana na Kibera, kisa wamekosa vya kuleta kutoka kwao for comparison..,
 
Kama Diamond ni mpumbavu manaake anawakilisha wapumbavu EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…