Nakumbuka hiyo siku vizuri sana. Yani hadi mwanzilishi wa hii thread akaleta hoteli fulani inaitwa Hong Kong Hotel eti nayo ni 5-star. Yani nilicheka sana huyo siku. Siwezi sahau hii hoteli ikiletwa hapaKunawakati tuliwachalaza viboko kwenye hizi hotel hadi mkaanza kuleta hoteli kama za riverroad humu kwa kuishiwa
imagin na hapa ni mombasa, sio nairobi..Zege hilo laja...girder laying process washaanza kwenye changamwe interchange...final level..coming up( Third level)
View attachment 1842130
Inakaa stripper anajuana na jamaa si kwa visa vile! Jamaa itabidi ajieleze baadae!Jamaa anatamani ageuke Ila anaogopa drama 🤣🤣🤣🤣
Mombasa wakiamua kujenga kama yale majengo yao matatu hivi..Game over...wameshagandamiza..imagin na hapa ni mombasa, sio nairobi..
tz hakuna chochote cha maajabu nje ya dar slum View attachment 1842159
Of course Dar is organized. Very much organized as you can see below. Tena mko na ardhi (open spaces)nyingi sana ya kufanya maendeleoKweli DSM ipo organized ndo maana tuna mfumo Bora wa transport kama brt ambayo ni ya level ya juu,kingine tupo na designated areas kibao za transportation,sio kama Nairobi ambayo ardhi hamna ya kufanya what we are doing here,
Nairobi is no near when it comes mobility ya mwananchi wa kawaida, talking about Safety, comfort na effiency au nasema uongo?
Tunazungumzia CBD mko na bus stand ghan organised maana si otc,ngara, bus station kencom, railways zote old school na zimepigika kinomaOf course Dar is organized. Very much organized as you can see below. Tena mko na ardhi (open spaces)nyingi sana ya kufanya maendeleoView attachment 1842146View attachment 1842147View attachment 1842148View attachment 1842149View attachment 1842150View attachment 1842151
Now compare with disorganized Nairobi
View attachment 1842152View attachment 1842155View attachment 1842156View attachment 1842157View attachment 1842167View attachment 1842175
View attachment 1842154
Hiyo steel girder hapo juu inakaa ya foot bridge angalia piers ya level ya chini halafu angalia hiyo ya juu angalia size ya piers cap ! Hamna 3 levels interchange hapo! Hiyo ni foot bridge na uwache kujidanganya!Zege hilo laja...girder laying process washaanza kwenye changamwe interchange...final level..coming up( Third level)
View attachment 1842130
tegea tu kiasi, 3yrs hivi. sahivi mombasani gorofa15 of 20+ floors under construction!.Mombasa wakiamua kujenga kama yale majengo yao matatu hivi..Game over...wameshagandamiza..
Naomba utuletee Ariel view ya ziwani,Majengo ,mathare tueone kidogo 🙂Of course Dar is organized. Very much organized as you can see below. Tena mko na ardhi (open spaces)nyingi sana ya kufanya maendeleoView attachment 1842146View attachment 1842147View attachment 1842148View attachment 1842149View attachment 1842150View attachment 1842151
Now compare with disorganized Nairobi
View attachment 1842152View attachment 1842155View attachment 1842156View attachment 1842157View attachment 1842167View attachment 1842175
View attachment 1842154
Zege hilo laja...girder laying process washaanza kwenye changamwe interchange...final level..coming up( Third level)
View attachment 1842130
Ma engineer fake kutoka Tanzania led by Venus Star watakuamnia hiyo sio three-levelimagin na hapa ni mombasa, sio nairobi..
tz hakuna chochote cha maajabu nje ya dar slum View attachment 1842159
Why do you want to compare your organized neighborhoods with our slums? Is it because zinafanana shilingi kwa ya pili or what exactly? I thought you said Dar is organized!!Naomba utuletee Ariel view ya ziwani,Majengo ,mathare tueone kidogo 🙂
imagin na hapa ni mombasa, sio nairobi..
tz hakuna chochote cha maajabu nje ya dar slum View attachment 1842159
Duh!!ujue basi jamaa wana ku zoom htu wakisubiria ku post kibera[emoji1787][emoji1787]Yani wanafaa kujitafakari sana hawa watu iweje masikini kwao ni wengi kuliko kwetu ilhali sisi kipimo chetu kipo juu kuliko yao
Haina haja tupoteze time kubishana, ngoja wakati lami itatandikwa hapo juu ndo uongee kwa sasa wacha ni bookmark hii post yako.Look at how the piers caps r wide to support at least a four lanes 3rd level! 👇
Piers caps za 3rd level ziko tofauti na hiki mnachojenga 👇
Wacha ubishi wa kipumbavu!
Let me educate you just a little bit.Hiyo steel girder hapo juu inakaa ya foot bridge angalia piers ya level ya chini halafu angalia hiyo ya juu angalia size ya piers cap ! Hamna 3 levels interchange hapo! Hiyo ni foot bridge na uwache kujidanganya!
That's a footbridge on ther rd level, when u talk of interchange levels u have to be consistent that all the levels will convey vehicles and not 2 for vehicles and the third is for pedestrians !! keep trying!Let me educate you just a little bit.
Kuna underground level. Hiyo ni level ya kwanza
Kuna ground level. Hiyo ni level ya pili.
Lastly kuna elevated level. Hiyo ni level ya tatu.
Sasa ni nini huelewi hapo ama maana ya neno 'level' ndio hujui?
Mathare slumNaomba utuletee Ariel view ya ziwani,Majengo ,mathare tueone kidogo 🙂