Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulipopiga ligi ya Nairobi na Dar hapo nyuma Nairobi ikashinda Dar nilijua Tanzania hamna kitu. How can an interior city that's mostly a financial and industrial city beat a coastal city that's a tourist city? 🀣 🀣
Alaf nje ya nairobi kuna hoteli gani ??🀣🀣 wakat zanzibar pekee inaweza simama na hoteli zote kenya nzima
 
Wanapeana moyo mtu na msenge wake, vipi siulisema huu ugomvi ni wangu na wewe mbona tena unamtoa kafara mwenzako.[emoji23][emoji23]
Makasiriko ya nn ss kwani mm ndio niliyesababisha Kenya isiwe na hotels za viwango kama za Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alaf nje ya nairobi kuna hoteli gani ??🀣🀣 wakat zanzibar pekee inaweza simama na hoteli zote kenya nzima
Nje ya nairobi ndo kuna everything watamu hotels have been winning awards over and over again and bytheway zanzibar is Tanganyika
 
Yani huna hamu na mimi tena kabisa, humbwer takataka ya manispaa usinijaribu next time, mimi sijawai poteza battle katika huu uzi. Bladfakin
Makasiriko pelekea nyanyaako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makasiriko ya nn ss kwani mm ndio niliyesababisha Kenya isiwe na hotels za viwango kama za Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha tz wana wivu ndo maana hawawezi kubali walipo shindwa I think its inferiority complex najua hata hii Utaanza ooh uwongo ooh internet ni waongo nikama internet iliambiwa onea tanzania
 
Nje ya nairobi ndo kuna everything watamu hotels have been winning awards over and over again and bytheway zanzibar is Tanganyika
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mm naeza kukuaibisha bora unyamaze tu

enhh sasa unataka kutuambia zanzibar haiko tanzania ama??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mm naeza kukuaibisha bora unyamaze tu

enhh sasa unataka kutuambia zanzibar haiko tanzania ama??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Rafiki yangu mzanzibar ndo aliniambia hivo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…