Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakiona maji ya shingo atatumwa mtu kuja kuharibu battle ya hotels [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi zote napost hapa ni five star hotels, zipo kama upupu huku Tz, kuna Melia Serengeti hii ni Melia Zanzibar, kama render[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • Screenshot_20210704-081422.jpg
    34.8 KB · Views: 23
sasa huyu kilaza anaongea nini hapa.. wee unajua kenya vizuri wewe.. a leading tourism hub!
hii battle ata wacha niwaachie new members hapa wachangamke
TZ ni pepo ndogo hapa duniani, ukiwa na pesa kuja uone ila kama huna endelea kuishi huko huko jehanam ndogo ya dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku nikigundua kuna nchi inaizidi Tz hapa Afrika mashariki na kati basi ndiyo siku ambayo naondoka kwenye huu uzi, Uzuri Villa-Boitique Hotel Zanzibar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi kurudi kwa ss, kuna mtu atatumwa kuharibu hii battle zen yeye atakuja baadaye tukiwa na issue nyingine alafu atapost kapicha kamoja ku neutralize [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣 🤣🤣Tumeshamsoma jina lake ni Nicxie tutamkumbusha akija. Tunataka hawa jamaa waiogope Tanzania.
 
Nisisikie tena mkunya anaongelea Hotel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The Residence Hotel Zanzibar, hii ngoma ilikuwa $809 per night ila kwa sasa ni $400 tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ameumia, hivi huoni hio barabara iko underconstruction ama ndo watafuta pa kutokea[emoji1787][emoji1787] manina mombasa bado ghorofa tatu za blue tufungue uzi rasmi.[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…