Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IT HAS ALREADY BEGUN, I COUNTED 4 HUGE 22 WHEEL TRUCKS CARRYING CARBRO THIS MORNING ON MY WAY TO TOWN. THOSE RE JUST WHICH I SAW, GOING TO ONE LOCATION
 
loong after being pronounced dead sio? quality ya barabara zenyu wakunya zinajulikana! Hiyo sio level yenyu! That tar and water drainage u will not find anywhere in Kunyaland!

See the difference!
Unless you are posting from the grave, I'm sorry to inform you that it is already done 😂
 
Hapa sio nairaland hapa ni Jamiiforums.
Humu mpo na watu wanaowafahamu kila kona.

Maneno mengi yasiyo na uhalisia vs Vitu kwa ground.

Kwa hivyo hata hujui links unatuma humu zinaongea nini? Read that link of yours, try to understand the content then come back and tell me if it's a lie that kipimo kimetumika hapo ni ile ya less than $3 a day
 
Huwa na deal na vitu kwa ground yaani hali halisi ilivyo.

Maneno mengi yasiyo na uhalisia vs Vitu kwa ground.
 
Huwa na deal na vitu kwa ground yaani hali halisi ilivyo.

Maneno mengi yasiyo na uhalisia vs Vitu kwa ground.
Wacha nikupuuze kwa sasa. Siku nchi yenu masikini itaanza kupimwa kwa kipimo cha dola tatu kwa siku njoo tuongee
 
Hicho ndio kigezo[emoji1787][emoji1787]
Kakojoe ulale mzee, kwhyo kw akili zako lil baby anamzidi kendrick Lamar kisa kachukua BET
Ndo maana yake, Kendrick alikuwa bora kwa wakati wake ule but now baby ni hot...take that.
 
Ndo maana yake, Kendrick alikuwa bora kwa wakati wake ule but now baby ni hot...take that.
East Africa hakuna wa kumfananisha na domo kw kila kitu, kuanzia bidii na kujibrand lkn hapo kw africa bado mzee.

Kuna watu wanajua kuumiza vichwa acha yeye jamaa la kuunga unga
 
East Africa hakuna wa kumfananisha na domo kw kila kitu, kuanzia bidii na kujibrand lkn hapo kw africa bado mzee.

Kuna watu wanajua kuumiza vichwa acha yeye jamaa la kuunga unga
Kwa sasa burna boy,wizkid na domo ndo hot musicians in Africa..hao wengine may be next time
 
Nyie mmejenga expressway!???... au wamejenga wachina!???..kumbuka hamjatoa hata mia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…