Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi mmejituma kiasi gani kutoka kwenye hili kundi?View attachment 1837502
Huwa neno umasikini ukitajwa popote humu unaumia balaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Masikini wa Tanzania ana uhakika wa kula na maisha mara mia zaidi ya masikini wa kenya failed state.

Utabaki unatembeza hiyo screeshot miaka na miaka huku njaa ikiwatandika kila mwaka.

Tunadeal na vitu kwa ground hatudeal na makaratasi.
 
Wangekuwa na uhakika was kula hawangekuwa wanakuja Kenya kuomba kwa streets.
 
Sasa masikini atoe hela wapi ya kuishi maisha mazuri? Mtu kama ni masikini ni masikini. Stop sugarcoating things here. The number of people living below a dollar a day in Tanzania is much higher than Kenya na bado uko na nguvu ya Ku sugarcoat things here
 
Wangekuwa na uhakika was kula hawangekuwa wanakuja Kenya kuomba kwa streets.
Msinililie mimi mlilieni anayesababisha mfike hapa. [emoji116][emoji116][emoji116]

 
Na hutoona wakunya wenzake wakimsahihisha [emoji23][emoji23][emoji23]

Wanapenda fake life kuliko kujituma kukomesha njaa inayowatandika kila mwaka tena karne hii ya 21.
Karne ya 21 bado utapia mlo unawamaliza?
Tanzania: children malnutrition 2021 | Statista
As of April 2021, 31.8 percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Tanzania.
 
Wewe ni mtanzania?
 
Naziona dalili za Zambia zikianza kwa majirani! Yaani unafungua mdomo kuongelelea MCHINA, yule bwana yenyu? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇
Mwisho wao ndio watakuwa marubani!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…