Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta mashine ya nguvu achana na 125cc, hicho ni chuma cha wachumia juani AKA walalahoi
Yako iko wapi [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji86][emoji1664][emoji529][emoji3517]
 
Mlikimbia nyie magololi(testicles) ya fisi! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nyeenyee tumeshinda alshabab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


haya nambie mwaka wa ngapi huu! huyu na wenzie zaidi ya60 mtawaokoa lini maana waliolewa na wavaa yeboyebo

morali itatokea wapi kwa jeshi dhaifu hivi View attachment 1835131
 
Haha point no5 inadhihirisha wewe ni useless
 
Hii ndio unafananisha na Kinoru Stadium? Kitu haina hata fence wala shade [emoji23] [emoji23]
Eti hii inaitwa stadium kwa standards za Kenya[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…