Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nipo hapa mpk saa saba usiku asogee mkunya yeyote au UFIPA yeyote anayejiona ana msuli aone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Ugali na Chumvi ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Nipo hapa mpk saa saba usiku asogee mkunya yeyote au UFIPA yeyote anayejiona ana msuli aone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mbwa kibogoyo kwani hatukujui? Leta jibu la Kinoru stadium ya Meru ndio uendelee kutoa povu
 
Ugali na Chumvi ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Eti ugali ndiyo nguvu, wajaribu kwa kina Jony Cena wanaokula vitu soft alafu waone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe mbwa kibogoyo kwani hatukujui? Leta jibu la Kinoru stadium ya Meru ndio uendelee kutoa povu
Hii hapa inaitwa Uhuru Stadium, ipo Dar km Dar, yani mmeingia cha kike leo, mwenzako kachokoza moto kakimbia kakuachia shida na nitakutesa mpk unye leo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Source Wikipedia
 
Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu Arusha [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ndio unafananisha na Kinoru Stadium? Kitu haina hata fence wala shade [emoji23] [emoji23]
Huu hapa unaitwa Amani Stadium upo Zanzibar, mpk unye leo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikitoka hapo mjiandae na vita ya airports [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…