President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,683
- 94,332
Pwahahahaha!!! 🤣 🤣 🤣 Naona umeanza kuwehuka sasa. Can you tell me categories of UZI!?I have never seen one such stupid person as you. Sasa wewe ni muuza T-shirts? Ama ndo zimebeba ubora wa UZI???? I have touched UZI, I have used it!!! Don't lecture me on guns because you know nothing!!
Ameleta tisho! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Naona umekuja kuharisha maneno.
Wewe mshamba wa kibera utajulia wapi UZI.
View attachment 1830461
View attachment 1830472
View attachment 1830476
Tuonyeshe hao wanyama wanao disturb-wamnaona ni sifa or ni okay kuwadisturb wild animals au??
Hata hao wenye kutengeza wali upgrade, hawatumii sana. Angalia mitambo, Uzi zipo hata KE, lakini hatuzinunui tena, tuli upgrade! 🤣 🤣 🤣Naona umekuja kuharisha maneno.
Wewe mshamba wa kibera utajulia wapi UZI.
View attachment 1830461
View attachment 1830472
View attachment 1830476
🙆🏾♂️😬Tanzanians are funny, funny that they see the bad that is with the neighbor and forgets all their problems.
Watanzania husema wao hulisha Kenya. Ni kama wao hutupa msaada wa chakula. Tunatumia pesa zetu kununua chakula. Kuna nchi kama UAE ambayo chakula karibu chote ina nunua. Hivyo hailishwi ila inajilisha.
La pili. Utapia mlo ni moja kati ya vitu vinavyosababisha vifo vingi Tanzania. Hiyo inamaanisha kuwa watu wengi Tanzania hawana chakula cha kutosha. Ama wanachakula lakini hawajui kulinganisha virutubisho vyote. Mtu ale mihogo kila siku mwaka mzima huku akijidai ana chakula.
Kenya, Diabetes ni moja wapo ya vitu vinavyosababisha vifo, kinyume na Tanzania, Diabetes ni ugonjwa unaotokana na maisha ya kujitozelesha (Lifestyle disease) Nchi nyingi zilizoendelea, moja ya vyanzo vya vifo ni Diabetes.
Hapa Watanzania mjifunze kitu, kwamba nyinyi hufa kwa utapia mlo mara saba zaidi ya Kenya, huku kujidai kwenu na chakula kunawaibisha
View attachment 1830498
View attachment 1830501
Hahaha kama hauugui basi kuna ugonjwa unakunyemelea
Tanzania haina malls za kucompete na za kenya tuseme ukweliHahaha kama hauugui basi kuna ugonjwa unakunyemelea
Mall kubwa kenya ni mbili ,Two river and garden city mall,labda useme kwa izo mbili utaelewekaTanzania haina malls za kucompete na za kenya tuseme ukweli
Stop being silly, listen and learn. You cannot shoot somebody 60M away with an Uzi under automatic fire. It's accuracy is just about 30m. Is that a gun your military can be seen with??? Last time it was produced i believe is in 1980's i don't think it is being manufactured as of late.Pwahahahaha!!! 🤣 🤣 🤣 Naona umeanza kuwehuka sasa. Can you tell me categories of UZI!?
This one is beaten pant down with this all the way from Athi RiverYou are writing an essay. Nani ana muda wa kusoma hiyo report!? Show us what you have.
Mkuki House Mall
View attachment 1830510
View attachment 1830511
View attachment 1830512
View attachment 1830514
View attachment 1830515
Mbona ya kawaida sana hii
Bado huduma bado zipo[emoji1787]
na umwambie kuwa hii inaandaliwa na wabongo wenyewe....Kula vumbi.
Azam Racing Show. Show za kibabe
View attachment 1829882
View attachment 1829884
View attachment 1829885
View attachment 1829886
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] @teagras kavaa msuli kanyukea buti moja matata la kibabeMuda wa inzi kwenda kulala sasa. Inzi zote toka kibera zimejificha. Tunapiga Kara funua
View attachment 1829897
Old pics[emoji1787][emoji1787]
Hata Kenya Safari Rally inaandaliwa na wakenya, sio wa Pakistani! 🤣 🤣 🤣 🤣na umwambie kuwa hii inaandaliwa na wabongo wenyewe....
Amphibious tanks, we unajua navy seals wanatumia hvyo vitu unavyoviita plastic boats mara kinao hata kuliko hyo mitenkiMzee unaenda vitani na plastic boats
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hizi zinaitwa Amphibious Tank
View attachment 1830313
View attachment 1830316
View attachment 1830318