Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Si garage hiyo, sasa Station ya Emali na hapo, wapi na wapi? π π π π π π πKenya SGR Station vs Dodoma Bust Terminal
View attachment 1826580View attachment 1826581View attachment 1826582
Kausha basi, hatufanani hata ikiwa used! π€£ π€£ π€£Nijinyonge kwa sababu ya used train..!??..nitakuwa mjinga wa karne
Msomi wa lugha kama mimi kujibizana na kilaza ni kujiaibisha.. Haya endelea na ujinga wakoSwali lake la pili limeniacha hoi[emoji1787][emoji1787]
Eti lahaja ya usanifishaji wa lugha ya kiswahili na wakati tayari historia imemaliza kila kitu.
Kiswahili bila waarabu na lugha za kutoka pwani hakingelikuwepo, sasa jamaa anataka kutuaminishia lugha zote za pwani zinafanana..
Kila watu walikua wakitumia lugha zao hku wakichanganya na kiarabu kiasi ili kupata kuelewana kati shughuli mbali mbali..
Mambo ya sanifu yalifanya kuja kw sababu za watu flani(hasa hasa walilenga kielimu zaidi) ili kusije kukawa na mkanganyiko..
Upo baba mzee osama
Sasa hivi hamna cha kuonesha mnaishia kuweka emoji tu. Kenya kwisha habari yake.Si garage hiyo, sasa Station ya Emali na hapo, wapi na wapi? π π π π π π π
Huyo ndio yule mkunya wenu mnaye muonaga amewazidi akili nyie wakunya wote humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23]Babako huyo... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Usicheze na moto utakuunguza.Kausha basi, hatufanani hata ikiwa used! π€£ π€£ π€£
Watu wa mwendazake hao,ukiwagusa unafufua mzimu wake
Aisee kuna umuhimu hawa watu wakaangaliwa upya! Wasiachwe kuwa na nguvu kuliko sheria na taratibu!
Najua mnakenua kenua meno. Moto utawaunguza.Kausha basi, hatufanani hata ikiwa used! π€£ π€£ π€£
Mbona hatuoni mafaili,mavitabu na makaratasi juu meza kama ilivyokuwa mwendazake? Sasa tutaaminije? π π π πsomething great is on the way.. bet it be some cash for Makutupora-Isaka SGR line
43.65.......
74.1.136......
225.254.173.....
Au tumsitiri tu [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1826594
Sasa hivi hamna cha kuonesha mnaishia kuweka emoji tu. Kenya kwisha habari yake.
Dar ni moto, utakuunguza kaa mbali.View attachment 1826610View attachment 1826612
Eeh [emoji23][emoji23][emoji23]huyu ndio HB wao [emoji3]
Ndo bwanako huyo ama π€£ π€£ π€£Huyo ndio yule mkunya wenu mnaye muonaga amewazidi akili nyie wakunya wote humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, ni "bwana wenyu"Ndo bwanako huyo ama [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Yani umesave picha yake kwa simu yako, ukilala unaicheki tu. Kweli huyo bwanako.Hapana, ni "bwana wenyu"
Hii inalingana na mji wa Sumbawanga.Eastleigh, siku dar itajengwa hivi nje ya cbd mnitag.
View attachment 1826657View attachment 1826658View attachment 1826660View attachment 1826661