Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣 yani MUNGU hakuona sehemu zote za kushuka ashuke kwale, hvi mm hua nauliza hawa watu wamesoma nn ??
 

Hujajibu swali.
 
there are many types of lifts
 
As you all go to sleep tonight, let's not forget that Nairobi is two times richer than Dar despite the fact that Dar is almost three times bigger than Nairobi in size.


Hii ukubwa wa Dar tunaimbiwa hapa usiku na mchana faida yake ni nini haswa?
 
Hebu ondoa utoto Mzee. Sisi tunaongelea vitu vikubwa kama bridge across the sea. Nyie mnaongelea footbridges!!!?
Bridges across the sea? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Only a bongolala won't understand the importance if a footbridge in a city. But we understand yours is a glorified fishing village πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huu utani sasa. Yaani kadude kembamba hivyo ndiyo stand. Ikinyesha mvua watu watasimama wapi?

Jinsi stendi za bongo zilivyopana , mvua ya upepo ikipiga maji yanaingia hadi ndani sasa hawa wenzetu na vistendi vyao vyembamba sipati picha na kingine brt buses zitakua zinapishan vipi πŸ€” wakati lane yenyewe moja tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…