Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DazBaba aka DazMwalim, BwanaMisosi, J-mo, Rich1, AfandeSele,Dudubaya, Jaffaray, Doro, BerryBlack, Sumali, MrBlue, TundaMan, HusseinMachozi, SolidGroundFamily.. nawengine kibao tu! waliendagaapi. walikua machizi ile mbaya!!💥💥
Wapo wengine wana mishe zao kama akina j mo,beery black,bwana misosi,tundaman,Hussein machozi yuko Europe,akina blue bado wapo kwenye muziki...tatizo lipo kwa akina daz baba,doro,solid ground family hao wapo wanakula tu cocaine pale temeke...duh uliwahi kukaa bongo nini, maana hadi solid ground family unawajua??!?..unanikumbusha zamani sana,hawa jamaa ndo walifanya muziki akina diamond wanacheza tu
 
Ukumuelimishe mpumbavu mwenzako sio mimi

Kenya ni failed and crippled shithole, Hamuwezi hata kulipa mishahara japo budget yenu ni loans 90%
 
real Bongo flava ilikua ile ya 2000's.. hii ya sihizi malavidavi, kufloss tu na mabinti na mabugatti. akina diamond hao! haina ladha tena
 
Wanafananisha Dar na slum City yao, dar ni Green kuliko mji wowote Africa

Your browser is not able to display this video.
 
Mnataka kusema kila mkenya anajua kiingereza!nishakutana na wakenya kibao abroad hawajui kiingereza
Kenya kiingereza kinaongewa sana Nairobi na baadhi ya miji yao michache mikubwa. Counties nyingi hasa huko mashinani ni wanaongea vilugha vyao hata hiyo english wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari. Wakija nairobi ndio wanajifunza kuongea Kiingereza. Hata hawa akina Nixcie, Mwathada, Komora, Yosefu Festo, Mbwa Coco wamekuja kujifunza kiingereza baada ya kutoka huko maporini kwao huko walikotoka halafu leo wanajidai wao ni bingwa wa kuongea kiinglishi.
 
Kwn shule za mashinani kenya elimu inatolewa kw kilugha sio, we kweli tahira mzee..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…