Mfumo wao wa elimu hawa majamaa ni wa kibwege kabisa duniani[emoji1787][emoji1787]Nyingine hiyo! Effects zake tunazionaga hapa hapa! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1814047
View attachment 1814048
Kwasababu kiswahili ndio lugha kuu tanzania na ndio maana tanzania ndio inapigana kiswahili kitapakae africa na iwe lugha ya africa 😂😂 alaf baadae tunaenda kufanikiwa muje museme bila nyie kiswahili kisingefika africa kusiniHow can you say eti Hatukipendi,na walimu karibu wote abroad wa kiswahili Ni Wakenya😏💉 ata mtz hawezi kuajiliwa kuwa translater hamjui English you are Bongolalaz kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Unafikiria hyo ni golden lion[emoji1787][emoji1787]hapo ingelikua golden lion basi kuanzia kioo mpka nyuma chinihii ni plywood ama? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji3516]
Izo zinatumiwa kubeba mahawker wenyu Ombaomba wenye wanatuchafulia jiji,mnatuuzia mpaka korosho kwa jiji mnathani Nyinyi Nani,uchafu lazima tuondoe 💉Oneni gari zao za nairobi county 🤣🤣👇
View attachment 1814076
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwetu probox na noah zinabeba nyasi za ngombeIzo zinatumiwa kubeba mahawker wenyu Ombaomba wenye wanatuchafulia jiji,mnatuuzia mpaka korosho kwa jiji mnathani Nyinyi Nani,uchafu lazima tuondoe 💉
Maajabu🔥🇰🇪🔥 na eti TZ Ni Donor Kantreeeeeh😆🤣🤣🤣today's kenyan budget will stand at $3.4B!... lets wait and see what our neibas will present. i highly doubt if their combined budget would even dare near kenya's.
[Kenya budget > (tanzania+uganda+rwanda+burundi+south sudan) budget]
Mbona munalia sasa 🤣🤣👇👇Maajabu🔥🇰🇪🔥 na eti TZ Ni Donor Kantreeeeeh😆🤣🤣🤣
Na sisi tunakifikisha Amerika na haturingi Bado tupo tu😆🇰🇪🔥🇰🇪💉Kwasababu kiswahili ndio lugha kuu tanzania na ndio maana tanzania ndio inapigana kiswahili kitapakae africa na iwe lugha ya africa 😂😂 alaf baadae tunaenda kufanikiwa muje museme bila nyie kiswahili kisingefika africa kusini
Huyu balozi wa TZ nchini China nimempa saluti aise. Jamaa anaonekana sio wa kushinda ofisini tu, anajituma sana. Yaani huyu hata akistaafu, anastahili kuongezea extra time. Safi sana, I wish balozi zingine ziige mfano wake. Mh. Samia na wasaidizi wako kama mnapitia comment zetu mzidi kumotivate huyu balozi kwa namna yoyote ile hata kwa barua ya pongezi kwa juhudi zake kwa niaba ya baadhi yetu.
Hizi Gari Watanzania hawker Ombaomba,watakuwa wakiziona wanasepa🔥🔥😆Nairobi metro police hyoo, kuna watu wataumwa kwanza yule mwarabu koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nairobi metro police yani mambo kimya kimya[emoji116][emoji116]View attachment 1814097View attachment 1814098View attachment 1814099
Jamaa kaingizwa mkenge na akakimbia kabisa[emoji1787][emoji1787]Na huyu bus car alileta wapi ??[emoji1787][emoji1787][emoji116]
View attachment 1814063View attachment 1814064
Mzee trilioni tatu za kenya ni sawa na $30B km sijakoseatoday's kenyan budget will stand at $3.4B!... lets wait and see what our neibas will present. i highly doubt if their combined budget would even dare near kenya's.
[Kenya budget > (tanzania+uganda+rwanda+burundi+south sudan) budget]
Tena mbio sana[emoji1787][emoji1787]kwanza wale wanajiiba iba tao watakiona cha moto..itabidi waanze kutumia ungo kukimbizana na subHizi Gari Watanzania hawker Ombaomba,watakuwa wakiziona wanasepa[emoji91][emoji91][emoji38]
😆Kwanza siku hizi wezi wa Tao Ni Watz,sijui kulienda aje watolewe kabisa🤣🤣🤣🤣🤣Tena mbio sana[emoji1787][emoji1787]kwanza wale wanajiiba iba tao watakiona cha moto..itabidi waanze kutumia ungo kukimbizana na sub
Inakaa gari ya kubeba nyama!Haya magari yalikuwa yanatumika na polisi wa makaburu kule South Africa kipindi kile cha ukoloni [emoji23][emoji23][emoji23]
Inasaidia nn au makaratasi tu 🤣🤣👇👇Maajabu🔥🇰🇪🔥 na eti TZ Ni Donor Kantreeeeeh😆🤣🤣🤣