Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣 yani maisha yametandika hata kuvaa hawajui alaf nguo zote mitumba ya wachina
Mimi nilisema hawa jamaa vichwa haviko sawa! 🀣 🀣 🀣 KE mitumba ya nguo/pamba inayokuja hutoka kwa wingi taifa kama UAE(dubai), Australia, UK, US. China sio sana vile.
Lakini sasa nyie majirani zetu, nafkiri halipingiki China ni mume wenyu kuanzia toothpick, chupi mpaka fagio, yaani hata Furniture, licha ya kuwa na mbao zote hizo mnazosemaga hapa lakini bado mnafaidishi nchi za nje kwa kununua huko ilhali mna mbao na mafundi kwenyu?... Tafakari ya babu ya Swaleh Mdoe!!! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡






 
Nn hii unatuletea source by who ??? Au umekosa source za maana unatuletea stori za wanasiasa za vijiweni🀣🀣🀣🀣
 
Nani ananunua hzi takataka watu waache kununua probox alaf wanunue hzi takataka🀣🀣🀣🀣🀣
View attachment 1813945View attachment 1813946
TakaTakaπŸ™†πŸ–• unathani Hizo Ni zile Vifaru ndogo za cartoon munatengenezaga Bongolala kabisaπŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’‰πŸ’ŠπŸ’Š
 
Nn hii unatuletea source by who ??? Au umekosa source za maana unatuletea stori za wanasiasa za vijiweni🀣🀣🀣🀣
Wananchi wa Jamuhuri ya Watanzania! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
ichoboy01... Ndugu zako wanalia, sio wakubwa, sio wadogo, ishakua taabu. Ukiingilia ya mwenzio, jichunguze kwanza, henoheno!!! (in KINGWEDU's voice) 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
TakaTakaπŸ™†πŸ–• unathani Hizo Ni zile Vifaru ndogo za cartoon munatengenezaga Bongolala kabisaπŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’‰πŸ’ŠπŸ’Š
Nioneshe mauzo ya hzo takataka kenya leo mm nicheke vzr 🀣🀣🀣🀣
 
Wananchi au vijiwe vya siasa 🀣🀣🀣 unatuletea maneno ya wajinga walioko kwenye group za siasa tafuta official source ukipata tu nitag nifunge acc πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wananchi au vijiwe vya siasa 🀣🀣🀣 unatuletea maneno ya wajinga walioko kwenye group za siasa tafuta official source ukipata tu nitag nifunge acc πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈChina to the world, dadeq! πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…