The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
We fala Jamii forums ni km kabati lenye shelves tofauti tofauti, hizo shelves ndio zinaitwa forums, ss hizo forums ndio zinabeba threads km hii ambayo inatoka kwenye forum ya Kenyan news, kuna millions of Tz who are in Jamii forums but have never visited this forum, shortly ni kwamba this is not the best Jf forum though it has large number of views.I normally come here specific for two things.
1. Get updates that I could have missed on other platforms about EAC.
2. Showcase what my motherland Kenya has. It's diversity and beauty.
I know many Tanzania's on this forum are on payroll to engage Kenyans with stupid arguments so that to keep the platform active. That is not a worry for me, because I really do not care as long as my 2 objectives above are achieved.
It is true that without Kenyans Jamii Forum is dead. Kenyans are always an active lot online. So Tanzanians we understand your objectives here.
Anasema nini huyu Kinjeketile!?We fala Jamii forums ni km kabati lenye shelves tofauti tofauti, hizo shelves ndio zinaitwa forums, ss hizo forums ndio zinabeba threads km hii ambayo inatoka kwenye forum ya Kenyan news, kuna millions of Tz who are in Jamii forums but have never visited this forum, shortly ni kwamba this is not the best Jf forum though it has large number of views.
Kingine ni kwamba mkiona mzigo mzito humu Jf ondokeni humu wala sio lazima kuwepo cz cc wenyewe watz tunatosha na hii platform iliasisiwa kwa ajili ya watz, nyie wengine ni shobo zenu na orgasm ndio zimewaleta humu.
SERIOUSLY MISLED[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]MaguFOOLis Dodoma 'ring road' thrown to the dogs tuusan View attachment 1811640
Ukiona Jf inakuboa ondoka, kila siku nawaambia, mnang'ang'ania nini ss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anasema nini huyu Kinjeketile!?
Miradi ya Tanzania si miradi ya kimagumashi ya Kunyaland ya Bwana Kunyatta!MaguFOOLis Dodoma 'ring road' thrown to the dogs tuusan View attachment 1811640
Kaitoa kwenye ki thread uchwara nimekiona nikakipotezea, hawa Wakenya wamejazana humu Jf huwaambii kitu, masaa yote wapo Jf tu hata kazi hawataki kufanya.SERIOUSLY MISLED[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
DODOMA 112KM RING ROAD IS ON PIPELINE.
Hahahahahaaa kwamba hujaona mm nikipost mali yangu? Vipi unataka twende ground mm na wewe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani roho inakuuma lkn hujui utaanzia wapi kulitema hilo donge[emoji1787][emoji1787]
Post na wewe tukuone mzee wa maisha mazuri
Hili soko hivyo unavyoliona ndivyo hivyo hivyo lilivyo km render aisee.kenya ni mall
View attachment 1811691
Unateseka ukiwa wapi?Did you know!?
Electric machines are even older than diesel engines.
Washamba wa bongo hudhani with electric trains they have modern machines.
Choice of diesel or electric machines depends on variables like availability and dependability.
View attachment 1811589
FakeMaguFOOLis Dodoma 'ring road' thrown to the dogs tuusan View attachment 1811640
You live in kibera while trying to be conversant with things that are happening downtown. The Expressway is a rip off just another loan repackaged under the guise of PPP at the end of the day poor Kenyans end up footing the bill for 30 bloody years. Let us say if the return on investment can be achieved in 10 years these sharks will still squeeze cash out of poor Nairobians for another 20 years.Nani kawaloga hawa wakenya.Ignorance is bliss
Nimecheka sana wallahi yn Wakenya wakitaka kujionesha wana maisha mazuri lazima waumbuke mana wana fake hakuna mkenya hata mmoja amefanikiwa ktk hilo ukiacha Tony 254 ambaye yeye alionesha vyeti na kweli tulikubaliana naye, ila hawa wa kuonesha wana mali kumbe ushuzi mtupu huwa wanaaibika vibaya sana.
Tazama ilo buti la mtu aliyepanda business class, alafu angalia na kiti kilivyo cha ubabaishaji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1810538
Hivi anafahamu tukiamua tunaweza kufahamu(au kumfahamu mwenye picha) hadi anapoishi kupitia hiyo picha![emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1811534
Sio mall tuu but state of the art world class mall [emoji23][emoji23][emoji23]kenya ni mall
View attachment 1811691
Fake news hiyo sio nembo ya serikali ya TZMaguFOOLis Dodoma 'ring road' thrown to the dogs tuusan View attachment 1811640
Anaita shit forum wakati kila akipigwa ban anafungua ID mpya ili aone nini kinaendelea jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama ni shit forum unasubiri nini humu kila siku upo? Si uondoke kwn unalazimishwa kuwa humu? Nenda kwenye forums zenu kwn c zipo, Moderator Active Invisible Active Maxence Melo mbn mnamuacha huyu muhuni anajaribu kuharibu reputation ya platform yetu adhimu ya JF? Kwnn msimpige ban la maisha na kuifuta kabisa hii account?
Na suggest mumpige ban la maisha na kila atakapofungua account nyingine mkibaini tu piga ban, haiwezekani muvumilie mtu anatukana brand yenu mliyotumia nguvu kubwa kuifikisha hapa.
Actually hiyo middle ring road ni ile ya ndani Inatokea Martin RutherKing kuja Nhuhungu Singida road.Fake
Majobless wa Jubilee hao [emoji23][emoji23][emoji23]Kaitoa kwenye ki thread uchwara nimekiona nikakipotezea, hawa Wakenya wamejazana humu Jf huwaambii kitu, masaa yote wapo Jf tu hata kazi hawataki kufanya.