Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo hapo kdf walikuwa training??..we kubali tu kuwa kdf ni mdebwedo basi kwani kuna ubaya..!?
 
Naona WWE Ni mmoja wa Wale wataalam wa Magu😆Ebu nieleze na wale Jeshi gushi lenu wenye Wana uwana na Nyundo wakivunja matofali kwa Tumbo ya wenzao,eti Ni ukomando,Maajabu🤣🤣🤣🤣🤣
Nenda kawaambie KDF wale makomando uchwara waige na hiyo kama hawajajinyea wapate aibu nyingine
 
Wacha kuwazingua! 🤣 🤣 🤣
 
Na wale waliofirw* na mujahdeen vp?



Dah KDF mdebwedo aisee
Hata wewe mwenyewe wajua story za vijiweni hizo, jiliwaze na hilo basi alafu ukimaliza nipe link pahali walifanyiwa hivyo unavyosema, nifunge acc yangu! 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…