Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wasenge kwa adjectives cjawahi ona duniani, wazee wa most, largest, multi, the best, yn kitu kimoja kinapewa sifa 100 alafu icho kitu chenyewe ukikiona sasa [emoji3][emoji3][emoji3]
Unaiona na haijaisha? Ni mpya ama you confusing the isiolo moyale one?
 
Wewe huwa una hasira sana kwenye comments zako kwnn lkn?[emoji1787][emoji1787] Yn joto limekuwakia mpk kila kitu kwako ni hasira tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kweli hawa waTz wana vijimambo.. eti training ya army wana 'act' movie ya Shaulin! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…View attachment 1806489
Wanataka kuwa shaolin wakati wamejaza kilo na kisomo cha shaolin hawana, hicho wamekiiba kwa tamthilia za kichina! ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ Real kungfu disciples hao hapo chini! ๐Ÿคฃ
Wazee wa kazi sasa hao. Ukifuatilia life history ya kina Donnie yen, Jet Li, Bruce Lee nk, hao wamelelewa kwa kufundishwa vituko vya ngumi hadi kujulikana kwao.

Mikuki hiyo, dogo amekita ka sio kitu! ๐Ÿ”ฅ
 
Tumenyamaza kwa sababu mambo ya pre paid water and electricity services most households tuko nazo tuko zamani, most of this services are digitalized here, so ata mnafurahisha nyinyi, kumbe mambo mapya kwenyu? Poleni mazee! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ prepaid meters in 2021 so slow.... I personally developed a prepaid monitoring system integrated with MPESA close to 4 years ago
Leta hizo systems hapa tuzione kutoka Kunyaland!

Unafikiri Kenya hatuijui? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Imagine Arusha Ndio Itakuwa Capital ya EAC(As a country) No wonder hizi developments Zote zinafanywa EAC Nzima,Walai Tena Sijui Nani atakuwa President wa United States of EAC๐Ÿค”๐Ÿ˜๐Ÿคฉ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Yani interesting Times Ahead,Endeleeni kuchanuana ili kila Nchi ijue weakness yake Ndio irekebishe na Mapema,we don't want any weakness Ahead๐Ÿ™๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Hawa wasenge kwa adjectives cjawahi ona duniani, wazee wa most, largest, multi, the best, yn kitu kimoja kinapewa sifa 100 alafu icho kitu chenyewe ukikiona sasa [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama ile international stadium ya Kisumu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ