Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

real estates in russia👇

real estates in china👇
 
Kule wenye kujenga ni mmoja mmoja ndo maana hata hazijaisha wanaenda kupiga picha. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
zipo sehemu nyingi tu,,,dar tunadeal na both side tunajenga estate pia kila mtu anaweza kujenga nyumba yake,,,,na hizo nyumba si kama hazijaisha pitia vodeo ulizopewa vizuri

japo hatujengi estate zenye zenye ukubwa wenye nyumba nyingi
 
wacha porojo,,,


huwa tunawaambia hapa kila siku kuwa jeshi lenu ni weak halipo well kwenye training
 
wacha porojo,,,


huwa tunawaambia hapa kila siku kuwa jeshi lenu ni weak halipo well kwenye training
Three elite soldiers from the U.S. Army Parachute Team were injured early Tuesday morning during a training accident at Homestead Air Reserve.
Msfikiri Parachuting ni mchezo wa kitoto ka kula kitimoto na kupiga gongo, no my friend, hujui lolote ndio maana unaongea utopolo. Accidents ka hizi zipo kwa kazi ka hizo, sio kila kilaza anaruka na parachute team dadeq! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
NB-ajali haina kinga, na hao elite nimekuonyesha hapo labda miaka ka 1000+ ndio muwafikie level yao na bado wanakufa. Hao wenyu ndio special sana, naelewa watakufa vipi wakati wako makambini wakila, kunywa na kulala, ndo kazi hiyo? 😂
 
wacha porojo...

mpo jeshi lenu la kenya ni weak tu,,,


usikatae huwa hampo well kimafunzo
 
unadhani vita ni picha au movie ukimuangalia Rambo kwenye expendable[emoji1787][emoji1787]
jeshi ni nidhamu,umakini na uelevu bila kusahau uadilifu,,jeshi lisipokuwa na hivyo vitu mtaishia kuchapika mwanzo mwisho na kuanguka hovyo na parachutes

wacheni vituko na utoto,,,
wanajeshi 100 wa Tz wanaichapa jeshi lenu zima la kenya nzima na tunauwezo wa kuwamiliki mkawa mbwa wetu
 
wacha porojo...

mpo jeshi lenu la kenya ni weak tu,,,


usikatae huwa hampo well kimafunzo
Hamna lolote nyinyi, Mrusi na Mchina anawazingua tu! Accidents zipo na zitaendelea kuwepo. Kazi yeyote ile iko na risks zake. Hii kazi sasa ndio ya kiume sio kukaa vijiweni na kubweka bweka! 🤣 🤣 🤣
 
Mbona hamkuchapa Hao magaidi wakichoma Vijiji yenu,Jeshi lenu lilitoroka🏃🏃🏃🏃🤣🍼
 
Wale waliochangamkiwa na vijana kwa mapanga ama wengine??? 😂 😂 😂
Jeshi unakufa kwa risasi mkuu sio panga dadeq!
 
tena usijaribu tutawachapa kichapo cha mbwa koko pia tutawamiliki ..

100 soljaz wa Tz wanachapa hilo jeshi lenu lote na tunawabaka ,coz mpo dhaifu sana kimafunzo
Si Mkuje🙆 Unaona izo fighter Jets umeoneshwa ndizo zitawangoa Ndevu🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…