Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Phase blah blah... Tulieni tumalize halafu muongee. Vichwa vya sgr bado kuwasili, so siwezi bishana na wewe. 😂
Kwann unawaswas wa nn wakat vinatokea south korea😀😀😀 mbona munawasiwasi sana yani hamulali mukapumzika
 
I built my house to my taste not buying into an estate with someones else taste.
Tena sio kubuy wanaonunua wachache sana wale wenye uwezo sana waliobakia ni ndoto za kurent maisha yao 🤣🤣🤣🤣
 
Kwann unawaswas wa nn wakat vinatokea south korea😀😀😀 mbona munawasiwasi sana yani hamulali mukapumzika
Nyie ndo hamlali, mnawashwa na upupu wa KE kila siku, leo hili kesho lile, mkipingwa, mnalia lia hapa. Acheni kukurupuka bila facts au news za kueleweka! 🤣 🤣 🤣
 
Tatizo munaifatilia sana SGr kwann sasa inawanyima usingizi au kwasababu ndio bullet electric trains 🤣🤣🤣
Kama hzi 👇👇👇👇👇
 
Tena sio kubuy wanaonunua wachache sana wale wenye uwezo sana waliobakia ni ndoto za kurent maisha yao 🤣🤣🤣🤣
An average of 70% of Tanzanians are renters spending more than 25% of their monthly income to cover for housing expenses especially in major cities of Dar es Salaam, Arusha, Mwanza and Dodoma.
👆 👆 👆 🤣🤣🤣
 
According to who james githuru??🤣🤣🤣
Source KBS kenya 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…