dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
i told u kenya is a small 'south africa' to this pipohave you ever heard of kenyan beggars in tanzania,...!? realy!?. or its vice-versa. am going to highlight more on this forum. i'll deeply expound more on the same. am still doing thorough research
The ones I came across were begging for alcohol and miraahave you ever heard of kenyan beggars in tanzania,...!? realy!?[emoji848]. or its vice-versa. am going to highlight more on this forum. i'll deeply expound more on the same. am still doing thorough research
Fake news,wapi link?Wamefuta haraka haraka kwa aibu π€£π€£π
View attachment 1804704
Bei chee kabisa wakati saivi tunawauzia finished products? ππππTukikosa kuwanunulia si kitaoza ma'shambani kama juzi mlivyoanza kulia baada ya block, na ukumbuke sio nchi zote hufanana, so nyie wakulima, limeni aisee tunakuja kununua sisi, tena bei che kabisa! π€£ π€£ π€£
Hapo stendi ikinyesha mvua apatoshi π
Nenda fb kuna page inaitwa ujenzi zone,wakunya wamejaa huko na kuchukua mafundi wa TZDream House 1 ya kibabe sana pande za Ihumwa Dodoma
Wakunya kujenga nyumba kama hii hawawezi bila fundi kutoka nje ya nchi
View attachment 1804681View attachment 1804682View attachment 1804683View attachment 1804684View attachment 1804685
Congrats brohuku mtumba nimeshajisevia kakiwanja kangu
View attachment 1804689
Huu unga upo KE? π π π Labda border sababu unga ni Taifa wa MMM hapo ndio kitu cha ugali cha uhakika kinatoka! π€£ π€£ π€£ Unga wa aflatoxin haununuliwi.Bei chee kabisa wakati saivi tunawauzia finished products? ππππ
View attachment 1805127View attachment 1805125View attachment 1805126
Hata kwenye furniture tembelea hii page uone namna wakunya wanavyochangamkia furniture za TanzaniaNenda fb kuna page inaitwa ujenzi zone,wakunya wamejaa huko na kuchukua mafundi wa TZ
Pole kwao, ajali haina kinga. Sio wao wa kwanza kuumia.
Duuhh uchafu gn huu.Nakuru residentials..,
View attachment 1804975
Kati ya makomandoo wanne waliotua...wawili tu ndo waliweza kutua salamaPole kwao, ajali haina kinga. Sio wao wa kwanza kuumia.
Chai, nani apoteze hela kununua furniture kutoka Dar wakati KE mafundi wapo hata ready-made ukitaka wapata. πHata kwenye furniture tembelea hii page uone namna wakunya wanavyochangamkia furniture za Tanzania