Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwana Shamba wa Kericho [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1664][emoji90][emoji86]
 
Mtu saba ndogo sana banda moja unakuta ina watu 15 wanazaana kama kondoo
Kunyaland mpaka leo kuna zile nyumba watu wakiamka asubuhi wanapanga foleni ya kuingia chooni,unakuta nyumba moja ina watu 35 na wote hao wanashare choo na bafu,msa kule pwani mijumba ile kama mihandaki ndio unakuta hata watu 50 wanaishi nyumba,hao jamaa ni mafukara sana aisee!
 
Acha uongo wewe,tunajua most of our kunyan friends they r living on the slums that y kamwe hamuwezi kutuonyesha makwenu,shame on u
 
Acha uongo wewe,tunajua most of our kunyan friends they r living on the slums that y kamwe hamuwezi kutuonyesha makwenu,shame on u
Sasa si hao ndio levels zako, ah na wewe wataka urafiki na watu wa Runda wakati unatokea uswazi middle class na wala hujui runda utaanzia wapi kusema ukweli, manake we ukifika utabaki kuhangaika mwisho akina "karen" watakuitia polisi alafu upewe kesi ya trespassing..
 
Ndiyo maana tunasema sh1000 ya Kenya huku ni zaidi ya sh20000 lkn 20000 ya Tz ina nguvu kuliko 1000 ya Kenya.
Ina nguvu hko hko kwenu wala sio kw mataifa yaliogutuka..
Nyie matumizi yenu kajilinganisheni na somalia[emoji1787]
Eti ina nguvu, yani nimecheka aisee..elfu moja ya kenya ina nguvu kote kote manake kitu kinachouzwa elfu moja kenya elfu ishirini ya tz hainunui vice verser elfu moja ya kenya inanunua kitu ambacho kinauzwa elfu ishirini tz na unabaki na change..
Sasa hapo ipi yenye nguvu mzee[emoji1787]
 
Hilo nchi lenu linaishi kimatabaka ndio maana mtu hata wa kibera atajifanya yuko matawi ili asibaguliwe tu,nchi la ajabu sana hilo,ukabila,udini na maskini na tajiri kila mtu kivyake,hapo we mwenyewe unakaa kwenye slum but utakataa na kujifanya unaishi tudor
 
sawa.. mi mshamba kweli, lakini masomo ya shahada UoN,.. kazi KenHa!,.. makazi, Langata.. mimi muhuguzi.. na mshahara ya kikenya, sijui ningekua Tz ningelipwa ngapi!??🤔🤔 ($1=Tsh2,399😝😝). kenya sihami!
Huko langata nyumba ni za kipimbi sana Lakini unapigwa kodi za New York

Lakini mtanzania anaishi like your employer kwa less money than you

So who wins?

Wakenya wenzio kwenye comments wanashangaa namna maisha Tanzania yalivyo cheap but luxurious

 
since nyie waTz nimegundua tu kua kumbe mnatuchunguza tu saaana sisi wa kenyarée hadi bedroom.. hebu google baći, parastatal salary structure
Buda si uko zakwa[emoji848]
Radisha man usipee watu mdomo, wataanza kuleta mshenee huku
Vichaa wawili wamegongana majalalani

Kichaa mwenzako anaongea Hili kichaa mwenzie anaongea Hili

Nani mwenye muda wa kuwafuatilia ninyi sasa?
 
Huyu muhindi naona anataka kumuondoa mchina kwenye real-estates market ya Kenya, sababu saivi mchina ndio kakamata real-estates market ya Kenya

Wakenya wamekamata slums tu 😅😅😅😅
Huyu Jivanjee huku Nairobi ana uhusiano na huyu wa Dar?
 
Hesabu ni rahisi mtu anapata tabu👇👇
Tanzania ina km sq over 900k
Kenya ina km sq over 500k

tanzania population is 58m
Kenya population is 53m

sasa hapa pia tumtafute bibi nyau atupigie ramli??? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…