Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaongeza wigo kwani nairobi ina miaka mingapi ikiwa na 696km sq [emoji16][emoji16][emoji16] inside 696 km kuna over 200km sq ni nairobi national park hatujaweka misitu iliohema kila kona ya nairobi
Nshakupuuza mzee[emoji1787][emoji1787]we ukitaka bisha pekeako mpka ukafe
 
Unaposema development 5% taarifa hizi umezitoa wapi!? Kunyaland na kupika data.
Umekasirika sio[emoji1787][emoji1787]unategemea dar iwe na maendeleo ya kufa mtu kw ukubwa ule na population ile..
Bado sana aisee, mji kw ukubwa huo wa dar unatakiwa unacheza na population ya 10m ndio angalau kuwe na maendeleo ya kufa mtu..
Jiji kubwa lkn maendeleo hamna, kumebaki misitu tu
 
Kwanza yule mwarabu koko si anaumia jamani, nimeamua nimuache kwanza huenda ujinga utapungua kichwani. lkn kwa sasa kaamua kuwehuka kimataifa mpka inatia aibj aisee...
 
We unaliwa bana, mwanaume kamili huaga hana mda na insha za wanenguaji km nyie..
Kwaheri, hicho kilio chote kisa umeulizwa swali ambalo limekuumiza sana..pole ndugu, siku nyngine jiandae kisaikolojia km unaandika vitu jf manake utaulizwa swali rahisi tu lkn likawa chachu kwako siku nzima..
Matokeo yake ndio hayo sasa, ugua pole pole mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…