Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww na mzungu nani mwenye akili zAidi 🀣🀣🀣🀣🀣 yanu munafurahisha sana nyinyi vilaza
 
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Harufu ya msalato inaskika
 
Haya sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumekuchaa Geza Ulole mutaskia millionares wamepungua kwa asilimia 80πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Yale yale yakukimbilia kujenga overpass nakuru na kisumu wakat umuhimu haupo na mbaya zaidi munaenda kujenga overpass za miaka 100 iliopita 🀣🀣🀣🀣

ona sasa faida yake πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ alaf leo munashangaa debt to GDP ratio kufika over 80% πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


 
Sio mimi ni serikali ya Kenya, nenda ukawanyonge brathe., ata London Metro iko na Mayor zaidi ya kumi if am not wrong., and Nairobi county does not swallow whole counties but parts of the counties., Vipi wewe
Ni sawa na kusema dar es salaam na mkoa wa pwani 🀣🀣🀣 umekuaje Don YF wewe ni don wa wavuta ganja nn

Na hapo hio 696km city area bado msitu ni 70% 🀣🀣🀣🀣
Sio sawa, Dar sio Nairobi metro, can't be used for an explanation of Nairobi Metro. London metro has I think over 10 mayors, so Nairobi Metro kukua na several governors kwako ni shida eti?πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚, and besides Nairobi metro does not fully cover the whole counties surrounding it but ime meza sehemu zao kadhaa, sio mimi nilitengeneza hiyo boundaries, nenda uka lilie Kenyan govtπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜œThe Metro
 
yaani uwe unapiga picha hizo post jamaa wamo humu na huwa wako mbio kufuta!
 

🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

 
So waliopima city area hawana akili🀣🀣
Unatafuta njia yakutokea au πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…