Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

najaribu kuangalia vita za israel na hamas.. naona uharibifu mkubwa sana wa miundombinu na majengo.. mamillions ya dollars yanapotea kupitia hizo rockets wanazorushiana.. wakat sis tunazihitaj hizo million/billion dollars kwa maendeleo
 
najaribu kuangalia vita za israel na hamas.. naona uharibifu mkubwa sana.. mabillions ya dollars yanapotea kupitia hizo rockets wanazorushiana.. wakat sis tunazihitaj hizo billion dollars kwa maendeleo
Wacha mwarabu apigwe.
 

Kwa mbaali picha hii☝️ inaonesha our upcoming CBDoy tanzanians hili jengo ☝️refu zaidi linaloonekana kwenye picha hiyo hapo juu linaitwaje.? NB, Hakuna CBD yeyote ya Nairobi ambayo iko full mkoko (magorofa marefu tu) kuizidi hii Kariakoo. Hizi ni picha za KK kwa ukaribu kabisa
 

Sio mpige kelele tu humu, tunatoa mtuonyeshe CBD iliyoshiba magorofa kama hii, sio mtuonyeshe vijengo vitatu kweny mapori alaf muite CBD . Nairobi haiwezi kuishi dar ikija suala la mgorofa. Na ndio maana The best 007 anawaeleza kwamba kuhusu utajir wa majengo dar is above all cities in EA

 
🀣🀣🀣🀣🀣 wanalizana huku

Ina maana Kenyans are sharp, vya bure hawataki, ingekua Tz mngepiga makofi na kushangilia, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ichoboy01 ungefungua uzi walai kushabikia ujingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hehehehee Tz kwa usafi tu haina mpinzani EA[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1786490
Mombasa..,



Kisumu city




Note: usafi ama uchafu ni vitu very temporary, Leo sehemu inaeza kua safi baada ya nusu saa pakachafuliwa, then baada ya masaa ama siku ikafagiliwa, no substantial argument here..,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚"my mother cooks the best food in the whole world" kinda reasoning πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,.,
 
caf wanataka kuifanya rwanda kuwa football hub?
..after taking over basketball πŸ€., Sahi they will host all basketball games sijui ni qualifiers ama..,that had been scheduled to be played in different countries! Sasa zote zitachezwa Rwanda, saw an advert kwa DSTV..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…